Tulioana miaka kadhaa iliyopita na tumejaaliwa watoto wawili. Tulioana mke wangu akiwa na mtoto mmoja aliyezaa akiwa kwao. Miaka ya mwanzoni uchumi uliruhusu kutoa huduma hata kwa mtoto wake ambaye anaishi na mjomba wake, baada ya uchumi kuyumba nikamwambia mwenzangu ongea na shangazi yake mtoto...