Mke Mdogo wa Ndugai, ndio anayetambulika na Serikali Ila kihualisia na mke mkubwa anafahamika na Serikali nikimaanisha wanamjua na anajulikana na viongozi wa Serikali.
Ilibidi wakae nae, waomboleze nae msiba na sio kumtenga.
Ubinadamu, utu ni muhimu kuzidi Mali, pesa na umaarufu.
Ikiwa huyu...