Tanzania National Main Stadium also known as Mkapa Stadium is a multi-purpose stadium in Dar es Salaam, Tanzania. It opened in 2007 and was built adjacent to Uhuru Stadium, the former national stadium. It hosts major football matches such as the Tanzanian Premier League and home matches of the Tanzania national football team.
With 60,000 seats it is the eleventh largest stadium in Africa and the largest stadium in Tanzania. It is owned by the Tanzanian Government. The stadium was built by Beijing Construction Engineering Group at a cost of $56 million.
A capacity crowd attended the first derby between Simba S.C. and Young Africans S.C. at the stadium in Dar es-Salaam 2008. Both clubs mostly draw low attendances for their other league matches.
House For Sale.
Location: Temeke Chang'ombe.
-100 meters from National Stadium.
-Corner House.
Features:
-3 Bedrooms(1Master Bedroom).
-1 Kitchen.
-1 Public Toilet.
-3 Medium Size Warehouse(Stoo).
-Large Parking.
-Borehole(Kisima).
Size: SQM 375.
Starting Price: Tzs 450 Million Negotiable...
Mabingwa wa Tanzania, Yanga leo wanaanza kucheza mechi ya kwanza dhidi ya Far Rabat ya Morocco katika mechi ya kwanza ya group B, katika mechi itakayochezwa kwenye uwanja wa Amani Complex, Zanzibar
Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya CAFCL, Yanga SC jioni ya leo wataingia uwanjani kurudiana na timu ya Silver Strikers kutoka Malawi
Katika mechi ya kwanza iliyofanyika jijini Lilongwe nchini Malawi, Silver Strikers waliibuka na ushindi wa goli moja kwa bila
Je Yanga leo watapindua...
Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya CAFCL, Young Africans (Yanga) jioni ya leo wanaingia uwanjani kukipiga na Timu ya Wiliete kutoka Angola katika mechi ya marudiano.
Katika mechi ya kwanza iliyofanyika Angola, Yanga walitoka na ushindi wa goli 3-0 dhidi ya wawakilishi hao wa Angola
Je...
Tunaanza na Pamba Jiji #NBCPremierLeague 2025/26🔰
Kikosi kinachoanza dhidi ya Pamba Jiji
Dakika ya 17
Max nzengeli anakosa goli la wazi
Dakika ya 24
Yng 0-0 pmb
Dakika ya 28
Max nzengeli anakosa nafasi ya wazi
Dakika ya 38
Yanga SC wanapata free kick ecua anapiga na kukosa
Dakika ya 40...
Hatimaye, hayawi hayawi yamekuwa! Leo, Septemba 16, 2025, watani wa jadi Yanga SC na Simba SC watakutana katika mchezo wa Ngao ya Jamii, ambao utaashiria kuanza rasmi pazia la msimu mpya wa 2025/2026.
Yanga wamekuwa kwenye kiwango bora, wakishinda michezo mitano mfululizo dhidi ya Simba. Hata...
Klabu ya Yanga inatarajia kukipiga dhidi ya Bandari FC kutokea nchini kenya katika uwanja wa Benjamin Mkapa leo Septemba 12, 2025 katika kuadhimisha siku yao ya Mwananchi.
Yanga yauza tiketi zote (Full house)
Uwanjani (Benjamini Mkapa) kukiwa kunameremeta kuelekea sikukuu ya wananchi...
Taifa Stars Kufunga Kundi B CHAN 2024 Leo
Leo, Agosti 16, 2025, Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars inashuka dimbani kumenyana na Central Africa (Jamhuri ya Kati) katika mchezo wa mwisho wa hatua ya makundi ya CHAN 2024, Kundi B.
Stars tayari imejihakikishia tiketi ya kusonga hatua...
Taifa Stars kuivaa Madagascar leo katika Uwanja wa Benjamin Mkapa
Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, inatarajiwa kushuka dimbani leo jioni kukabiliana na timu ya taifa ya Madagascar kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam.
Mchezo huu ni wa tatu mfululizo kwa Stars katika...
Hii leo Katika Uwanja wa Taifa Benjamin Mkapa, Tanzania (Taifa Stars) itacheza na Mauritania kwenye mechi ya Kundi 'B' katika Michuano ya African Nations Championship (CHAN), ikiwa ni mechi ya pili ya Kundi baada ya kuanza kwa Tanzania kwa ushindi wa 2‑0 dhidi ya Burkina Faso siku ya Ijumaa...
Wakuu!
Leo Agosti 2, 2025 pazia linafunguliwa rasmi kwa Fainali za Ubingwa wa Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN) 2024, ambapo Tanzania itavaana na Burkina Faso katika mchezo wa ufunguzi utakaochezwa saa 2:00 usiku kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
Michuano ya CHAN...
Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ishirikiane na TFF na bodi zote na taasisi zinazohusika kuutafutia matumizi ya dharula uwanja wa Zanzibar hili Mechi ipigwe Lupaso kwa maana ya uwanja wa Benjamin Mkapa.
Kwanza Simba imeuzoea sana uwanja wa Benjaminj Mkapa kiasi kwamba wanajua...
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) amesisitiza kuwa Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba SC na RS Berkane itachezwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, Mei 27, 2024 kwa kuwa Serikali imefanya jitihada mbalimbali za...
Sikumbuki mara ya mwisho kuona mashindano yoyote makubwa ya riadha au matumizi yoyote ya zile running tracks zilizopo katika dimba la Mkapa.
Sanasana imekuwa sehemu ya viongozi kuzunguka kupungia mkono wananchi pindi wanapoapishwa.
Ukiingia uwanja wa Mkapa kutazama mechi kama haukai walau...
Match Day
Simba SC vs Bravos do Maquis FC
Time 1600hrs
Kikosi Cha Simba Kinachoanza.
#Nguvumoja
Updates...
1'
Mpira umeanza kwa kasi, Simba wanamiliki mpira wanapeleka shambulizi ndogo kwa Bravos.
3'
Game on
0-0
7'
Simba wanafanya shambulizi kwa Bravos halifanikiwi.
Wanashindwa kudhibiti...
🏆 #CAFCL
⚽️ Young Africans SC🆚Al Hilal
📆 26.11.2024
🏟 Benjamin Mkapa
🕖 10:00 Jioni
Kikosi kinachoanza dhidi ya Al Hilal
Dakika ya 5
Mpira Umeanza
Dakika ya 10
Yanga SC wanakosa nafasi ya wazi
Dakika 25
Yanga wanakosa nafasi ya wazi
Dakika ya 29
Dube anakosa nafasi ya wazi anateleza hapa...