mkakati wa taifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Mabadiliko ya Kimya katika Sera ya Marekani kwa Afrika: misaada kama chombo cha kuhudumia mkakati wa taifa

    Katika mwaka mmoja uliopita tangu Donald Trump kurejea Ikulu ya White House, sera ya Marekani kwa Afrika imeanza kubadilika kimya kimya. Barua ya ndani ya mkuu wa Idara inayoshughulikia mambo ya Afrika katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani Nick Checker, iliyovuja hivi karibuni, ilifichua...
  2. R

    PreGE2025 Bodi ya Nishati Vijijini (REB) yampongeza Rais Samia kutekeleza mkakati wa Taifa wa matumizi ya Nishati safi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amepongezwa kwa kutekeleza Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia kwa vitendo Pongezi hizo zimetolewa jana Julai 01, 2025 na Mjumbe wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Lucas Malunde wakati akimwakilishi...
  3. Logikos

    Gharama ya Kufanikisha Mpango Kazi wa Utekelezaji wa Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia (2024 – 2034) Jumla Kuu 4,554,015,000,000

    Katika pitapita zangu nimekutana na hilo jarida la Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia (2024-2034) nikaamua kuleta kwenu pia (doing my civic duty) document ni pdf ipo attached ila kwa ufupi naweka picha kwenye gharama zinazotazamiwa kutumika ili kufanikisha hilo jambo (baadhi...
  4. The Sheriff

    TPDC kuziunganisha kaya 951 na gesi asilia katika mikoa ya Lindi na Pwani

    Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limeanzisha mpango wa kuunganisha kaya 951 na gesi asilia mwaka huu wa fedha. Mradi huo utaunganisha kaya 451 katika mkoa wa Lindi na kaya nyingine 500 katika wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani ili kupata nishati hii muhimu na safi. Afisa Maendeleo...
Back
Top Bottom