mji wa bunda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Tetesi: GE2025 Kwanini shule za sekondari za Halmashauri ya Mji wa Bunda zinawaambia Wanafunzi na Walimu kwenda kesho standi ya zamani kwenye kampeni za CCM?

    Hii ni hatari sana kama CCM wanalazimisha watumishi wa kada ya ualimu na wanafunzi kwenda kwenye kampeni za mgombea wao hapo kesho.
  2. Travis Kitengo

    Waziri wa maji na mkurugenzi wa mamlaka ya maji halmashauri ya mji wa Bunda huyu askari anawasaidia au anawahujumu kwenye hii operation?

    Kwanza nitoe pongezi za dhati kwa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuunda kikosi kazi kinachoshughulikia kero za wanufaika wa huduma ya maji,hapa namaanisha wateja waliounganishiwa huduma ya maji.Baadhi ya kero ni kama uhalali wa bili,miundombinu nk Kikosi kazi hiki kinaundwa...
  3. Travis Kitengo

    Vyombo vya usalama halmashauri ya mji wa Bunda lindeni wanafunzi wa shule ya sekondari Dr. Nchimbi dhidi ya mashambulizi ya wahalifu wenye silaha

    Hili suala lipo serious sana.Kwa ujumla eneo la Nyasura lina idadi kubwa sana ya wahalifu.Awali walijikita katika kuiba na kupora mali za raia ila kwa sasa hali imekuwa tofauti kabisa. Kundi hili la wahalifu na vibaka wameanza kuvizia na kushambulia wanafunzi.Kila walipo hutembea na visu...
  4. D

    Halmashauri ya mji wa Bunda yashindwa kutoa Tsh. 275,000 kuvuta maji shule msingi Nyabehu

    Katika kuzurura kwangu nikakatiza Halmashauri ya mji wa Bunda kata ya Guta kijiji cha Nyabehu katika shule ya msingi Nyabehu, Aibu niliyokutana nayo katika shule hii ni aibu mbaya kwa Halmashauri ya mji ya Bunda, kwenye shule hii tangu kuanzishwa kwake hakuna huduma ya maji hali inayopelekea...
  5. Travis Kitengo

    DOKEZO Mamlaka za kiutendaji na kiusalama halmashauri ya mji wa Bunda fuatilieni haya

    Wilaya ya Bunda Ina halmashauri kuu mbili, halmashauri ya wilaya na ile halmashauri ya mji wa Bunda. Wilaya hii Ina majimbo matatu ya uchaguzi; Bunda mjini, Mwibara na Bunda vijijni.. KISIASA Wilaya ya Bunda inatawaliwa zaidi na siasa za vyama viwili, CCM na Chadema. Japo tangu Sintofahamu ya...
Back
Top Bottom