Jana baada ya kupatwa na safari ya ghafla kuelekea mkoani, nikafika stendi wakati hela yangu ipo kwenye simu.
Nikaenda kutoa hela kwa bahati mbaya mawakala hawakuwa na fedha taslimu, nikaingia duka moja nikakuta ana Azam pesa. Nikahamisha hela yangu kutoka Yas / Tigo kwenda Azam.
La haula...
Imeshangasha Pesa imeweza kuhamishwa kutola kwenye namba yangu ya YAS bila mimi kujua au kuona meseji.
Imenishangaza kwasababu nimeigundua baada ya kuangalia statement kwenye Yas app na kuona nimetuma hela mara tatu kiasi cha laki 3 kwa watu nisiyowafahamu.
Hakuna msaada kutoka Yas wanasema...
Imekuwa ni kawaida ya hawa My x by Yas customer service kuwa wazimbe na wasiofatilia shida za wateja wao . Nimefanya malipo kwa njia ya bank post paid lakini mpaka leo lain yang haifanyi kazi , na kila ukipiga wanajibu subiri 24hrs Kampuni ina shida hii
Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akikabidhi cheti cha shukrani kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Mixx by Yas, Bi. Angelica Pesha, kutambua mchango wa Kampuni ya Mawasiliano ya Yas katika kushirikiana na Shirika la Nyumba Zanzibar (ZHC). Hafla hiyo ilifanyika...
Mlio karibu nao muwape taarifa wanafeli sana .
Mtu unahela kwenye simu ila unakosa kulipia dili au lala njaa kisa mtandao wao .
Soma pia Kampuni ya YAS ni failure katika huduma zao hasa Mix by YAS...
Habari
Nimetumia mtandao huu takribani miaka 15 na hata baada ya kubadilishwa jina na umiliki kutoka tiGO kuwa YAS bado nilibaki kuwa mteja wao.
Kwa muda mchache niliotumia mtandao huu nimetokea kuchukia sana huduma zao hasa huduma yao ya Mix by YAS, hii imetokea baada ya uvumilivu wa muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.