miujiza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Akili Ipo, Ila Tumepewa Mapumziko

    "Tatizo la kuwaamini sana viongozi wa dini ni kwamba tunasahau kuwa hata Shetani alipanda madhabahuni akiwa na Biblia mkononi na nukuu sahihi za Zaburi." — Alloyce, P.R.
  2. JamiiForums Tanzania Magic mushrooms inanguvu kubwa sana yakufanya ubongo wako uiingie katika ulimwengu wakufikirika wa miujiza

    Magic mushrooms sio tuu kukuingiza katika ulimwengu wa maajabu Pia ninzuri sana kwa wale wanao Fanya meditation yakiwango cha juu sana. Hii ni ninzuri sana kwa wale wavivu wakukaa kitako muda mrefu kwenye tahajudi. Utakapo tumia hii kitu nihapo hapo itakuingiza katika ulimwengu wako...
  3. JamiiForums Tanzania Haya yatatokea kati ya Juni na Disemba 2025

    JUNI 2025 Matukio yanayotarajiwa: Kutakuwa na majadiliano ya kina kuhusu katiba au mageuzi ya sheria fulani, hasa upande wa haki za kiraia na uhuru wa vyombo vya habari. Kutaibuka mjadala mkubwa kuhusu maadili ya vijana na matumizi ya mitandao ya kijamii. Sekta ya kilimo itaathirika na...
  4. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hawana tena mbinu zimeisha wanasubiria miujiza

    Ukiangalia matukio yanayotokea dhidi ya viongozi na wafuasi wa chadema ni wazi kabisa kama wameishiwa mbinu na wanategemea Mungu atende miujuza Ukisoma tweet za lema au heche unasikitika sana na unajiuliza hivi hawa ni viongozi kweli hivi unafikiri aman au mabadiliko yataletwa mezani serious...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa nini siku hizi hakuna miujiza kama Yesu alivyoagiza KWA wafuasi wake?

    Wakatoriki ndio kabisaa hawataki kusikia hizi habari wao wamejielekeza zaidi kwenye mifumo yao ya kiibada basi. Wasabato nao ni kama wamekatazwa kufanya eti KWA sababu Shetani atafanya na yeye miujiza bandia. Wamejikita kutaka Yesu arudi mapema. Walokole badala ya miujiza wao wamejikita kwenye...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa anavyo pendwa' na kila mtanzania, Rais Samia angekuwa mkristo hali ingekuwaje?

    Huwa nachukia udini japo siwezi kujitenga na uwepo wa ushabiki wa kidini nchini na humu JF. Tangu apate madaraka kwa mkono wa Mungu, rais Samia anaonekana kuwaridhisha mashehe hadi wengine kama shehe mmoja kusema kuwa ni mtu bora baada ya Yesu na Muhamad. Akiwa mwanamke, ambaye kisheria hapaswi...
  7. JamiiForums Tanzania Miujiza ya kushangaza yafanyika katika kaburi alilokuwa amezikwa Yesu!

    Kaburi alilozikwa Yesu baada ya kufa msalabani, limehifadhiwa katika nchi ya Israeli hadi leo. Watu wanaoingia ndani ya kaburi hilo, wamekuwa wakishuhudia uwepo wa Mungu na miujiza mingi. Katika kaburi hilo ndipo ulipofanyika muujiza mkubwa wa kufufuka kwa Yesu. Baada ya hapo miujiza mingine ya...
  8. JamiiForums Tanzania Suguye na miujiza ya kugusa vazi lake Jumapili hii

    Mtumishi wa Mungu @prophet_nicolaus_suguye Anakukaribisha kwenye Ibada kubwa ya KUSHIKA VAZI LA KINABII Itakayofanyika siku ya Jumapili 23/3/2025 katika kanisa la The Word of Reconciliation Ministries (WRM) lililopo Ukonga - Kivule, Matembele ya pili jijini Dar es salaam. Ibada ya kwanza...
  9. JamiiForums Tanzania Usipokuwa Muangalifu, Mchungaji Wako Anaanza Kufanana na Mganga wa Kienyeji

    Katika dunia inayojaa changamoto zisizokwisha—mahusiano yaliyovunjika, matatizo ya kiuchumi, ndoto zilizokwama—watu hutafuta suluhisho kwa njia mbalimbali. Wapo wanaotumia akili zao kutafuta njia halisi za kujinasua, na wapo wanaotafuta muujiza wa papo kwa papo. Kundi la pili mara nyingi huishia...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Manabii, Mitume, so called watumishi wa Mungu wa kufaya MIUJIZA/UPAKO wameshindwa kufanya miujiza mvua zikanyesha!

    Kuna ukame ambao unatishia maisha ya watu na mali zao. Akina Mwamposa and Co. Ltd wamejinasibu na kufanya miujiza kurekebisha mambo kama magonjwa, bahati kuondoa mikosi , kuleta utajiri etc etc. Najiuliza, mbona sasa hawafanyi miujiza mvua ikanyesha? Tunao zaidi ya 400
  11. JamiiForums Tanzania Mitego ya Kisaikolojia: Kwanini Wanawake Wanajazana Kwa Waganga na Wachungaji? Je, Hizi sio Pande Mbili za Sarafu Moja?

    Waganga wa Kienyeji na Wachungaji wa Maombi Binafsi: Ni Tofauti au Ndugu Wanaotumia Lugha Tofauti? 👇👇👇👇👇👇👇 https://www.jamiiforums.com/threads/waganga-wa-kienyeji-na-wachungaji-wa-maombi-binafsi-wajanja-wanaocheza-na-akili-za-wanawake.2314695/
  12. JamiiForums Tanzania Miujiza ni nini?

    Muujiza au miraculous/miracle hii ni nguvu ya nuru isiyo ya kawaida na utumiaji wa nguvu kwa njia ya kushangaza ni istilahi chanya ya nguvu itendayo nje ya maarifa ya kawaida ya Mwanadamu. Kinyume cha Muujiza ni Uchawi; Uchawi/Black magic/ Witchcraft/Magism hii ni Elimu ya juu iliyo nje ya...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi hii miujiza ya manabii/mashehe feki wanaitoa wapi?

    Kwa mujibu biblia na utabiri ndani yake, manabii feki wataweza ku perform miracles kwa kulitaja jina la Yesu. So hawa watu wame master uwezo wao binafsi maalum namna ya kufanya miujiza? wananaenda kupokea uwezo kutoka mahala maalum? Ni waganga wa jadi ultra prom max? Karibuni.
  14. R

    JamiiForums Tanzania Ninyi wahubiri miujiza fanyeni haya niwaamini

    Kila siku kualika watu waje kwenye makutaniko yenu ili wapate miujiza ya uponyaji. Slogan zenu za WAGONJWA WATAOMBEWA nataka muonyeshe kama kweli huyo Yesu Kristo anatenda kazi pamoja na ninyi basi: 1. Fufueni wafu 2. Waponyeni amputees ( watu waliokatwa miguu au mikono). Msilete hadithi za...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Hivi mliojenga hapa mjini, mliwezaje? Mna miujiza ama ni wezi?

    Kila kitu hapa mjini kinahitaji hela, unawezaje kusevu hela mpaka ufike hatua ya kujenga? Na ukichukuwa mkopo benki ndiyo hatari zaidi. Kama ni mkopo wa kutegemea mshahara utakuta unakuwa mteja wa kausha damu, na kama ni biashara utaona inakufa mbele ya macho yako. Mjini mambo yote yanahitaji...
  16. JamiiForums Tanzania Nilitamani sana nione miujiza ya Mafuta ya upako na udongo wa upako miujiza ya uokoaji na uponyaji pale Kkoo.

    Nilitamani sana nione miujiza ya Mafuta ya upako na udongo wa upako miujiza ya uokoaji na uponyaji pale Kkoo. Kadhalika na wale masharifu feki na wazee wanaodai wanamvuta mpenzi alioko mbali wakawavute na ndugu zetu kutoka katika janga lililowakuta.
  17. JamiiForums Tanzania Watumishi makanisa ya kiroho muwe mnaenda na mahospiltali kufanya miujiza msitufanye wajinga

    Tangu dunia iumbwe sijawahi kuona watumishi wa makanisa ya kiroho wametenga hata jumapili moja kutembelea mahospitalini kufanya miujiza ya kuponya wagonjwa kule. Mie nahisi kuna jambo nyuma ya pazia
  18. A

    JamiiForums Tanzania Wakristo na Miujiza

    Amani iwe nanyi. Kadri siku zinavyosogea vinaibuka vizazi hatari kuliko maelezo, karibu asilimia 90 ya wakristo hawasomi hata maandiko (BIBLIA) wanajiendea tu kama kondoo aliepotea. Katika Biblia takatifu MUNGU amesisitiza sana kufanya kazi, lakini unashangaa Kuona wakristo wengi leo hii...
  19. JamiiForums Tanzania Ni miujiza mtoto mchanga kukaa siku tatu kwenye shimoni la chooni akiwa hai. Hongereni Jeshi la zimamoto na mtoa taarifa

    Tukio lemetokea huko Dodoma yani ushuzi wa binadamu uwezi kuimili ila cha kushangaza mtoto kaweza kuishi siku 3 . Huyu mtoto anaweza kuwa miujiza mtoto. Tukio limetokea huko Dodoma
  20. JamiiForums Tanzania Huu umati ni kielelezo cha jamii iliyokata tamaa, inayotegemea miujiza ya mafuta itoboe!

    Huo umati ni kielelezo cha jamii iliyokata tamaa, inayotegemea miujiza ya mafuta itoboe! Ujinga, maradhi na umasikini is real.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…