Ni takribani wiki mbili sasa nimekuwa na harakati katika eneo maarufu la Kwa Zena lililopo Mbezi Beach-Dar es salaam. Kuna jambo ambalo siwezi kulikalia kimya, licha ya kwamba mimi si mkazi wa eneo hilo.
Mitaro ya maji katika eneo hilo imejaa taka na maji machafu yanayotoa harufu mbaya. Hali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.