nchi nyingi hasa za Ulaya ambazo zimekuwa wafadhili wakuu—zimeripotiwa kusitisha au kupunguza misaada kwa Tanzania.
Na tukubaliane, misaada hii ingawa si haki ya kudumu, imekuwa chanzo muhimu sana kwenye pesa zinazotumika kwajili ya matumizi ya viongozi (mfano kununua V8 za ofisini), kulipa...
Kamati ya Bunge ya mambo ya Nje ya Bunge la Ulaya imepiga kura ambapo kura 53 zimeunga mkono pendekezo la kusitisha Euro Milioni 156 kwenye mpango kazi wa Tanzania kwa mwaka 2026 huku kura mbili pekee zikiamua kwenda tofauti.
Mwenyekiti wa kamati hiyo, David McAllister amesema Tanzania imeamua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.