mikopo zaidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Palamagamba Kabudi: Wasanii wamepatiwa mikopo zaidi ya TSh. 5 Bilioni na Rais Samia

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa Palamagamba Kabudi amesema Rais Samia ameweka mazingira wezeshi kwa Wasanii nchini kwa kuwapa mitaji ya kuboresha kazi zao ambapo katika uongozi wake amefufua mfuko wa Utamaduni na Sanaa uliokuwa umekufa kwa zaidi ya miaka 10 na kipindi...
  2. N

    Rais Samia Suluhu Hassan anatazamia kutafuta mikopo zaidi toka China wakati wa Kongamano la Ushirikiano kati ya China na Afrika mwezi wa 9

    Rais Samia Suluhu Hassan atatembelea China mwezi Septemba kwa ajili ya Kongamano la Ushirikiano kati ya China na Afrika (Focac) ambapo anatarajiwa kusaini mikataba mipya ya mkopo huku Tanzania ikianza kutekeleza sera mpya ya mambo ya nje iliyofanyiwa marekebisho. Kwa mujibu wa Wizara ya Mambo...
  3. benzemah

    Jakaya Kikwete: Mikopo zaidi itachochea ukuaji wa Uchumi

    Rais mstaafu wa awamu ya nne, Dkt Jakaya Kikwete amesema utoaji mikopo zaidi kutoka taasisi za kifedha zikiwemo benki, utachochea uwekezaji na ukuaji wa uchumi kupitia sekta mbalimbali zikiwemo biashara na kilimo nchini. Kikwete alisema uimara wa taasisi za fedha nchini kwa sasa utasaidia zaidi...
Back
Top Bottom