mikopo ya watumishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mikopo ya watumishi ni kausha damu

    Mikopo ya watumishi wa umma kausha damu. Unakopa benki milioni 15, kinachoingia milioni 13 makato, milioni 32 haijalishi utalipa kwa muda gani, lakini hii ni kausha damu.
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Huduma ya kuuza na kununua madeni ya mikopo ya Watumishi katika mfumo wa ESS, iruhusiwe

    Jambo la kushangaza ni kuwa mfumo wa ESS unashindwa kutuhudumia upande wakuuza mikopo, uhuru wa kuchagua benki ni wa wazi na riba zinaonekana, tunaiomba Serikali imalizie ama i-activate mfumo wa kuuza na kununua madeni (loan takeover). Tunajua ni njama za benki zinaogopa kupoteza wateja, hivyo...
  3. JamiiForums Tanzania Nimekopa nadaiwa zaidi ya Tsh. Milioni 30, maisha magumu na mshahara hautoshi. Nafikiria kuacha kazi

    Niliingia kwenye ajira 2018 ualimu. Mwaka Jana nikakopa million 16 lakini yote imeisha maana nilitia kwenye biashara ya duka la nguo naona hasara tupu hata Kodi ya frame nashindwa kulipa Nikiangalia deni la mkopo linasoma million 31,ni makato ya miaka Tisa na pesa nilokopea imeisha kizingaombwe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…