mikopo ya vijana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PostGE2025 Makonda: Nitaenda kumlilia Rais Samia atupe Tsh. 2 Bilioni kwa ajili ya vijana wa Online TV na Content Creators

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Christian Makonda, ametangaza mpango wa kumuomba Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kiasi cha hadi Shilingi bilioni mbili kwa ajili ya mikopo ya vifaa vya kisasa kwa ajili ya vijana waliojiajiri kupitia vyombo vya habari vya mtandaoni na...
  2. W

    Ridhiwani Kikwete: Serikali Imetoa Mikopo ya Tshs. Billioni 1.2 kwa miradi 57 ya Vijana 2023/2024

    Akizungumza katika Maadhimisho ya Siku ya Vijana Agosti 12, 2024 jijini Dodoma, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Ridhiwani Kikwete alisema kuwa serikali imeratibu na kusimamia miradi ya kimkakati ikiwemo kutengeneza ajira, kupanua masoko na kutoa...
  3. Waziri Ridhiwani Kikwete: Vijana milioni 1.8 sawa na asilimia 12 hawana ajira

    Matokeo ya utafiti wa nguvu kazi iliyofanyika mwaka 2021, inaonesha kuwa kati ya vijana milioni 14.6 wenye uwezo wa kufanya kazi, vijana milioni 1.8 sawa na asilimia 12 hawana ajira. Tatizo la ajira kwa vijana hasa wa kike lipo asilimia 16.7 ukilinganisha na asilimia 8.3 kwa upande wa vijana wa...
  4. Dodoma: Timu ya wawezeshaji yanolewa utaratibu mpya mikopo ya asilimia 10 kwa wanawake, vijana na watu wenye ulemavu

    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI Adolf Ndunguru amefungua mafunzo ya mikopo ya asilimia 10 kwa wawezeshaji wa Kitaifa na kuwataka washiriki hao kuhakikisha wanaelewa vema ili kwenda kufundisha wengine kwa viwango vinavyokubalika. Akifungua mafunzo hayo kuhusu utoaji na usimamizi wa mikopo ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…