Hii mikopo ya mitandaoni imezidi kuwa kero kwetu.
Hasa unapopigiwa simu kuwa ulipe deni usilolijua.
Na kutumiwa meseji za ovyo.
Nimejaribu kutafakari,nimebaki na maswali yasiyo na majibu.
Je,hii si ile mikopo iliyopigwa marufuku kipindi cha JPM,kuwa haitambuliwi na serikali?
Kwa nini imerudi...