mifumo ya uchaguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    GE2025 CHADEMA kuandika barua UN, US, EU, AU, EAC kuomba waje wakague mifumo ya uchaguzi Tanzania

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche ametaja maazimio matano ya chama hicho, akisema wataandika barua kwa jumuiya za kimataifa wakiziomba zitume waangalizi kuja kukagua mifumo ya uchaguzi inayolalamikiwa kuunganishwa na CCM ili kukipa ushindi. Madai ya mifumo ya Tume Huru ya Taifa ya...
  2. The Palm Beach

    Dr Slaa: Madai ya Humphrey Polepole ya kuhujumiwa kwa mifumo ya uchaguzi ni tishio la usalama wa nchi na taifa moja kwa moja. Huu ndio uhaini uhalisi!

    https://youtu.be/Zuf0AQbofZs?si=WeqZpejCIpZYoDR2 IN BRIEF: 1. Dr Wilbroad Peter Slaa ameanza kwa kumshukuru Humphrey Polepole kwa ukiri wake wa kushiriki kuandaa hujuma hizi. Ameomba msamaha kwa taifa na Watanzania wote, nasi tunamsamehe kwa kama ambavyo nasi Mungu wa mbinguni hutusamehe kila...
  3. B

    Polepole kuitisha mifumo ya uchaguzi na NIDA kuhusiana na CCM kukaguliwa, ili kujiridhisha ina maana gani kiufundi?

    "Nimefanya ka research kidogo, kuongea na manguli kadhaa wa kadhaa pia kuchukua wasaa kujiridhisha." Yafuatayo ni Yatokanayo: Ashukuriwe mwana halisi wa nchi hii Humphrey bin Polepole aliyeutambua u Tanzania wake kama thawabu kubwa zaidi mno, dhidi ya uchawa na uchama. Kasema Polepole mifumo...
  4. B

    Kuingilia mifumo ya uchaguzi ni Uhaini. Lissu anashtakiwa kwa niaba yetu kwa kufanya Uhaini na tunaopaswa kuwashitaki kwa Uhaini!

    Uhaini ni jaribio la kubatilisha matakwa ya wananchi kusimika utawala kwa njia haramu. Kwa kuingilia mifumo ya uchaguzi CCM imekuwa ikibatilisha matakwa ya wananchi na kusimika utawala wake kwa njia zilizo haramu. Tumebebeshwa kesi dhidi ya Lissu tusiyoielewa na tunaopaswa kuwashitaki kwa...
  5. S

    Kati ya Lissu aliesema "tutakinukisha" na wanaotuhumiwa kuingiilia mifumo ya uchaguzi kwa mujibu wa Polepole, nani anapaswa kushitakiwa kwa uhaini?

    Baada ya Polepole kutoa tuhuma nzito za mifumo ya uchaguzi kuingiliwa huku akitaka uchunguzi huru utaohusisha vyama vyote ufanyike ili umma ujiridhishe kama alichosema ni kweli au laa, nimejikuta na hili swali hapa chini: Kama Lissu anashitakiwa kwa tuhuma za kusema atakinukisha kuvuruga...
  6. DuaZaMama

    GE2025 Golugwa: Iwapo serikali na vyombo vinavyosimamia uchaguzi wasipobadilisha mifumo ya uchaguzi hatutashiriki uchaguzi

    Amani Golugwa ambaye ni naibu katibu mkuu wa CHADEMA akizungumza na jambo Tv Agosti 19, 2025 amesema kuwa endapo serikali na vyombo vinavyosimamia uchaguzi wasipo badilisha mifumo ya uchaguzi msimamo wao wa kutoshiriki uchaguzi hautabadilika, hii ni kutokana kile walichokiona katika chaguzi za...
  7. crome20

    Kiongozi wa ACT Wazalendo Dorothy Semu anakiri mifumo ya uchaguzi haiwezi kutoa haki lakini hawatasusia uchaguzi

    Nina swali kwake. Hivi hawaoni wakiungana na Chadema kutoshiriki uchaguzi mpaka mabadilko ya kweli yawepo ndio njia bora ya kushiniiza mabadiliko? Ni akil gani ya kuamini utashinda wakati unakiri kura zinaibiwa, wagombea wanaenguliwa kwa sababu zisizo za kikatiba. Haoni kushiriki uchaguzi ni...
  8. Knock life

    CCM ilshindwa mwaka 1995 , ikashindwa 2010 na ikashindwa 2015 , ila ubovu mkubwa wa mifumo ya uchaguzi ndo unaibeba CCM

    Kwanza hongera Kikwete mwaka 2005 ulishinda kihalali Na hongera Mkapa 2000 ulishind kihalali . Baada ya hapo CCM. Haijawahi kushinda uchguzi wowote
  9. figganigga

    Mifumo ya Uchaguzi Nchini Tanzania imeparalysis

    Sasa ni rasmi kwamba Mifumo ya Uchaguzi Tanzania imeparalysis. Mfano: CCM ni chama kinachotawala( Chama cha Mapinduzi) Mchengerwa ni Mpiga kura wa CCM, Mwanachama wa CCM na Mbunge wa CCM lakini ndo anasimamia Uchaguzi ambao CCM inagombea na vyama vingine. Aibu sanaa.. Mchengerwa ni Mkwe wa...
Back
Top Bottom