michongoma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    Jamaa anadai miti ya michongoma na miashoki haramu kupandwa majumbani kwani mayahudi wataitumia kujificha ndani yake kabla na kiama!

    Wadau hamjamboni nyote? Ni mambo ya Imani na siwezi yabishia kwani wenyewe wanaamini hivyo Bado nawaza nifanyeje kwani nahofia.nosijeipanda miti hiyo kisha baadaye mayahudi wakaja jificha Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu
  2. Fido blyze

    Nahitaji mbegu za fensi ya michongoma

    Habari za utaftaji ndug zangu nipo katika maandalizi ya vitalu vya upandaji miti ya fensi kwaajil ya kuzungushia uzio shambani Changamito ni upatikanaji wa mbegu za fensi ya michongoma au kwa jina lingine fensi ya arusha miche yake ikiwa mikubwa hutoa miba mirefu na urefu wa miiba yake unaweza...
Back
Top Bottom