Nchi yetu ya Tanzania ina maendeleo makubwa sana tangu tulipopata Uhuru na mpaka sasa tumezidi kuvuka hatua.
"Uzalendo ambao wamepewa viongozi wetu ni umetukuka na sisi Watanzania tunatakiwa kuendelea kuwaunga mkono na sio kuwabeza, wanajitoa mno.
"Sisi hatuna deni na Rais Samia Suluhu Hassan...
Balozi wa Mazingira na mhamasishajI Michael Msechu amehamasisha wakazi wa Mkoa wa Pwani kuhusu ujio wa Mwenge wa Uhuru wa Kitaifa 2025 na kuhamasisha umoja na maendeleo ya Miaka minne ya Rais Samia katika kukuza upendo na umoja miongoni mwetu.
Soma pia: Mhamasishaji Peter Msechu aanza ziara...
Balozi wa Mazingira na muhamasishaji wa Maendeleo Tanzania ndugu Michael Msechu amefanya kikao na wanakijiji na kuhamasisha Ujio wa Rais Samia katika wilaya ya Mkinga na kuwaomba wajitokeze kwa wingi kumpokea na kumsikiliza Mama wa Taifa Kaziiendelee
Balozi wa mazingira na mhamasishaji ndugu Michael Msechu amewatembelea wavuvi na mabaharia katika bandari ya Pangani ambapo Rais Samia anatarajiwa kukabidhi boti 80 kwa vijana moja ya kumbukumbu kubwa na hitaji kubwa kwa vijana wa Pangani.
Balozi wa mazingira na muhamasishaji, Ndugu Michael Msechu, amekutana na Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti, ambapo wamejadili mpango wa kufanya ziara ya kuhamasisha vijana na wananchi kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura.
Kupata matukio na taarifa zote kwa...
Wakuu,
Mkutano wa nishati ambao walengwa wakubwa ni viongozi mbalimbali wa kimataifa na wenyewe ulihitaji "uhamasishaji" kutoka kwa Michael Msechu?
Tunaenda wapi kama taifa?
Balozi wa Mazingira na Mhamasishaji Michael Msechu ameshiriki kwenye hamasa ya vijana kuhusu mkutano wa nishati ambao...
Balozi wa Mazingira na muhamasishaji Tanzania Michael Msechu amefanya ziara Kupitia Vijana kwenye vijiwe mbalimbali kutoa hamasa juu ya kazi nzuri anayoifanya Mhe Rais Samia
Wakuu,
Nawaonea huruma sana wakazi wa Dodoma katika kipindi hiki. Inawezekanaje bodaboda wachache waruhusiwe kufunga barabara?
Yaani kila sehemu ni vurugu na mabendera ya CCM sehemu zote.
Na hawa bodaboda wanadanganywa sana
============================
Maafisa usafirishaji Mkoa wa Dodoma...
Wakuu,
Balozi wa Mazingira na muhamasishaji wa maendeleo Michael Msechu pamoja na mkali wa mashahili Nchini Tanzania Fumau Mashahiri wameongoza hamasa Wilaya kwa Wilaya wakati wakielekea Mkoa wa Dodoma Kwenye Mkutano Mkuu wa CCM
Rais Samia na Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi CCM Taifa...
Wakuu,
Huyu Michael Msechu kwa sasa ametua Zanzibar ili kuhamasisha wananchi kusheherekea maadhimisho ya miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Akiwa huko ameandaa, msafara wa bodaboda barabarani ili kuhamasisha sherehe hizo.
Soma pia: Mhamasishaji Peter Msechu aanza ziara visiwani Zanzibar kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.