miaka

Fushigi Yūgi (Japanese: ふしぎ遊戯, lit. "Mysterious Game"), also known as Fushigi Yûgi: The Mysterious Play or Curious Play, is a Japanese shōjo manga series written and illustrated by Yuu Watase. It tells the story of two teenaged girls, Miaka and Yui, who are pulled into The Universe of the Four Gods, a mysterious book at the National Diet Library. It is essentially based on four mythological creatures of China. Shogakukan serialized Fushigi Yûgi in Shōjo Comic from December 1991 to May 1996 and later compiled the manga into eighteen tankōbon volumes.
Studio Pierrot adapted it into a fifty-two episode anime series that aired from April 1995 to March 1996 on TV Tokyo. The anime spawned three original video animation (OVA) releases, with the first having three episodes, the second having six, and the final OVA, Fushigi Yûgi: Eikoden, spanning four episodes.
A thirteen-volume Japanese light novel series, written by Megumi Nishizaki, followed Fushigi Yûgi. Shogakukan published the novels from January 1998 to September 2003. Watase also released two prequel manga series: Fushigi Yûgi: Genbu Kaiden, which ran from March 2003 to February 2013, and Fushigi Yûgi: Byakko Senki, which began serialization in August 2017.
In North America, Viz Media licensed the manga series for an English-language release in 1999. The anime series was first licensed by Geneon Entertainment and re-licensed by Media Blasters in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ukimaliza chuo ukakaa mtaani miaka mitano bila ajira, mifumo ya ajira serikalini inakutema

    Chukulia mfano umemaliza chuo mwaka 2015, 2016, 2017, 2018 na 2019 kishuka chini alafu jaribu kuomba ajira serikalini. Pitia vigezo vyote kabla ya maombi 😀 kivyovyote vile lazima kuna kigezo kimoja utakuwa haukidhi hasa hasa umri. Mfano Tangazo la ajira za polisi la juzi. Watu wamesoma...
  2. G

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nasikitika kusema mfumo wa CHADEMA bado hauna uwezo wa kupewa uongozi wa nchi, labda waufanyie marekebisho au tuwape muda zaidi miaka 10 au 15 ijayo

    Habari wakuu Nikiri Mimi ni muumini wa demokrasia ya vyama vingi na siasa za hoja za ushindani kwani naamini ushindani wowote huletea wananchi maendeleo Ni moja ya watu tunatamani kuona tunakuwa na vyama vya siasa imara vinavyoweza kubadilishana madaraka Kila wakati pale kilichopo...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini awamu hii ya 6 Muungano umekua hati hati kuvunjika?? kwanini hii hali haijawai kuwa moto hivi miaka ya nyuma

    Wakuu nauliza tu,,,, Ishu za muungano imekua moto kuliko ishu yoyote ile kuna nn?? Nini kinachochea hii movement!!
  4. JamiiForums Tanzania Hospitali ya Muhimbili itajengwa kwa miaka mingapi?

    Hivi haiwezekani kutafuta maeneo mapya na ikajengwa Hospitali Mpya kuliko kukarabati Hospitali moja kila baada ya muda mfupi? Au mimi kuna kitu sielewi?
  5. B

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kazi, Mimi ni IT expert with five years experience at work

    Mimi ni IT expert Nina experience ya hii field miaka mitano sasa Nina uzoefu wa nyanja mbali mbali Kama Networking, IT SUPPORT ,Security system, System developer kama kuna ajira yoyote kuhusu IT naweza do iyo kazi private company, or any other institution
  6. G

    JamiiForums Tanzania Mzazi aliejikuta mzungu kumpa simu mtoto wa shule ya msingi yamtokea puani, Mtoto kaanza kucheki X na kujichua akiwa na miaka 8 tu

    Muhimu: wanaodhani mtoto wa miaka 8 hawezi kujihusisha na ngono basi niwaelimishe kwamba haya mambo yapo, isiopokuwa tu wao umri huo hufanya kwa kuiga tu, hufanya bila kujua ni kwa nini anafanya, viungo vyao bado havijakomaa. Niliwahi kumshauri huyu mzazi kwamba uwezo wake kiuchumi wa kuweza...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hati ya Muungano inatambua serikali 3, kwanini CCM mlitudanganya miaka yote hii?

    Kutoka Kwa Zitto Kabwe, Zitto kasema Kwa uwazi kua hati ya Muungano ya mwaka 1964 inatambua serikali ya Zanzibar, Serikali ya Tanganyika na Serikali ya Muungano. Sasa Kwa nini CCM imekua inafanya uongo miaka yote hii? Na wana maslahi gani na uongo wao huo wanaojifanya? Ili muungano ueleweke...
  8. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Uuzwaji holela wa vileo unaangamiza nguvu kazi ya taifa kwa kasi, na hii sio Tanzania tuitakayo

    Ili taifa letu la Tanzania lipate maendeleo kwenye nyanja zote lazima likuwe kiuchumi hadi ngazi ya uchumi wa juu.Bidhaa za vileo ni moja ya bidhaa zinazoongoza kwa kukuza pato la taifa kupitia kodi na leseni za biashara na taifa letu linajivunia kwasababu inachangia uchumi wa taifa, lakini kwa...
  9. I

    JamiiForums Tanzania Unakuta Kuna mtu Anazaidi ya miaka 22 na hajawahi kumuona diamond live!?

    Ebu wabongo kuweni seriously kidogo na maisha jamani khaa🤣🤣🤣 Otikii otikiii hii imeenda
  10. M

    JamiiForums Tanzania Phil Foden ana miaka 23 tayari ana mke na ana watoto wawili , Wewe una miaka 28 bado upo kwenu huna mke wala mume unasema bado mdogo

    Tazama mwenyewe,
  11. JamiiForums Tanzania Unakumbuka na kujifunza nini ukipitia Upya hii List of Shame ya Mwembeyanga baada ya miaka 17?

    VIONGOZI WA UMMA WALIOKO KATIKA ORODHA HII WAMEKIUKA NA/AU KUVUNJA MASHARTI YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO (KWA HISANI YA WEBSITE YA CHADEMA) kwa sasa tamko halipo . http://www.chadema.or.tz/tamko/tamko.php?id=16&pg=110 KANUNI/ VIGEZO VILIVYOTUMIKA A. USHIRIKI WA MOJA KWA MOJA KATIKA VITENDO...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Msichana miaka 22 Anatafuta kazi/ajira

    Habari wana jamii, kwa yeyote mwenye kutafta binti kwa ajili ya kazi mbalimbali kama dukani, ofisini, receptionist au yoyote ile ya halali basi kuna binti yupo Arusha miaka yake ni 22 ana elimu ya form four japo alienda chuo hakufanikiwa kumaliza kwa changamoto za ada. Kwa aliye tayari...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Yule mama amerejeshewa hati yake iliyokaa bank ya NMB kwa miaka 5

    Jamani Asanteni, Ila nilichojifunza ni kwamba tukipewa ofisi, tufanye kazi na kuwajibika. Yani mtu unaweza kuharibu sifa ya ofisi yako sababu ya kuchukulia vitu poa. Yule Mama anasema Maboss wa NMB walikuwa hawana taarifa , jambo limefika kwao limeisha fasta na amepewa hati yake kirahisi...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Miaka 12 ya Bongo Movie bila uwepo wa Steven Kanumba

    Steven Charles Kanumba alizaliwa 8 Januari, 1984. Alikuwa miongoni mwa waigizaji maarufu nchini Tanzania. Aliingiza katika tasnia ya uigizaji miaka ya 90 na na kujizoelea umaarufu mwaka 2002 baada ya kujiunga na kundi la Kaole Sanaa Group. Aliwahi kupewa tuzo ya mwigizaji bora wa kiume nchini...
  15. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe ampinga Profesa Kabudi mbele ya halaiki; 'hatuwezi jadili mambo yale yale kwa miaka 30'

    08 May 2024 MBOWE YAMSHINDA AMPINGA PROF. PALAMAGAMBA KABUDI MBELE YA HALAIKI ''HATUWEZI JADILI MAMBO YALE YALE KWA MIAKA 30''.... Freeman Mbowe amejikita katika chaguzi 6 zilizopita na mafunzo yake halisi ya juu kilichotokea katika miaka 30 ya vyama vingi vya siasa kulikopelekea kuiba...
  16. JamiiForums Tanzania Kizazi cha 1990s ndo kizazi cha dhahabu cha watu wanaojitambua

    Hiki ndo kizazi bora na ambacho kipo logically . Ndo waasisi Wa kataa ndoa crew Wanazaa kwa mpango Wapo logically Wapo na mental well being. Be blessed , Golden generation.
  17. JamiiForums Tanzania Putin kuapishwa leo kuwa Rais kwa mara ya 5 na miaka 24 madarakani

    URUSI: Vladimir Putin anatarajiwa kuapishwa leo Mei 7, 2024 kuendelea kuliongoza Taifa hilo kwa kipindi kingine cha miaka 6 huku akiwa ametawala kwa miaka 24 Putin alishinda Urais kwa takriban 87% katika Uchaguzi uliofanyika Machi 2024 ikiwa ni baada ya kufanyika mabadiliko ya Katiba...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa wakili mzuri aliyepo Sengerema, Mwanza atakayeweza kusaidia hili suala la NMB kugoma kutoa hati ya mteja wao kwa miaka mitano

    Ndugu zangu naomba tumsaidie huyu mama anayezungushwa na NMB kupewa hati yake aliyoitumia kama dhamana ya mkopo miaka 5 iliyopita. Naomba msaada wa kisheria kama kuna wakili humu ambaye yuko Sengerema, Mwanza anaweza kusimamia hili suala. NB: MKOPO UMESHALIPWA MIAKA 5 ILIYOPITA Pia soma...
  19. JamiiForums Tanzania Adhabu ya kujihusisha na Mapenzi ya Jinsia moja Tanzania ni kifungo cha Miaka 30 Jela

    Akijibu swali Bungeni, leo Mei 6, 2024, Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu Mwanaidi Khamis amsema Sheria ya Tanzania ipo wazi kwa wanaokutwa na hatia ya Kushiriki mapenzi ya Jinsia moja. "Kitendo cha kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja ni kosa la jinai...
  20. JamiiForums Tanzania Kuna sababu gani huwezi pata TIN number mpaka ufike miaka 18?

    TIN number ni muhimu na bado sijaona sababu yoyote ya mpaka ufike 18. Wataalamu naomba sababu kwanini mpaka 18 years ndio upate.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…