Rais Samia aliapa tarehe March 21, 2021, baada ya Kifo cha Aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Magufuli
Leo ametimiza miaka 4
Rais Samia amekuwa Bora kuliko mtangulizi wake Magufuli
Watanzania tulikuwa gizani kipindi cha utawala wa Magufuli,
Samia alikuta hali mbaya ya...