Wakati mapema wiki hii dunia ikiandika historia ya kupata chanjo ya ugonjwa wa Malaria kwa watoto, Tanzania imeanza utafiti wa chanjo ya majaribio R21 itakayohusisha watoto 600.
Hatua hiyo imekuja siku chache baada ya chanjo ya awali RTS,S iliyofanyiwa utafiti na Taasisi ya Ifakara Health...