Pamoja na mawimbi makali bado ccm imezidi kua imara, ccm imezidi kukubalika sana!
Tazama hapa katika video WATU WAZIMA mbali mbali wakienda kusikiliza sera za mgombea wa ccm.
Ama hakika CCM inakubalika sana.
Mgombea wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, Septemba 24, 2025 aliwasimulia wananchi wa Mtama, mkoani Lindi, namna alivyoingia Kamati Kuu ya chama hicho baada ya kukutana na baba yake Nape Nnauye.
“Lakini mama huyu ana mwanawe anaitwa Nape Nnauye… ngoja niwapeni...
Ulikuwa ni mkutano wa Kampeni na mgombea ubunge wa CCM alikuwa anakampeni apigiwe kura kuwa mbunge .
Baada ya Ngoma nyingi za utamaduni spichi zikaanza.
Akafika kada mmoja kuongea. Nimeshasahau alisema nini, lakini alikuwa tu anafungua mkutano anawakaribisha wote.
Halafu akaja huyu kada...
Wakuu
Muendelezo wa hekaheka na vibweka hadi uchaguzi utakapopita tutakuwa tumeshuhudia mengi
===
Mgombea ubunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, ameeleza nia yake ya kuwania nafasi hiyo ya ubunge ni kuwatumikia wananchi wa jiji hilo.
Makonda ameeleza...
Watanzania. Kuweni makini. Huyu mgombea wa CCM hajawahi kutamka neno rushwa na ufisadi uliokithiri katika nchi yetu. Mnakwenda kumchagua ki vipi? Wote Hawa mgombea na mwenza wake wamechora ramani.
Ndo maana msamiati wa ufisadi haupo kwenye vinywa vyao na hata kwenye ilani yao.
Sasa mjiulize...
Ukweli waweza kuwa mchungu, lakini ndio ukweli hata kama hatuupendi. Na ukweli mchungu mojawapo kwa Balozi Polepole na wenzake, ni kuwa Dr. Samia ndio mgombea wetu wa urais.
Mwalimu alituasa wana CCM, kuwa akishapatikana mgombea wa CCM, wana CCM wote lazima tumtetee. Katiba ya CCM imeenda mbali...
Amepata fursa ya kuzindua kampeni mbele ya umati uliosombwa ukasombeka halafu ameshindwa hata kujinadi vizuri. Anaonekana amechoka, ,kama kalazimishwa kuongea kama vila Bora liende watajua wenyewe.
Daa! Nawezaje kupigia kura mtu wa namna hiyo?
Kama ni hivyo, basi hii itakuwa mara ya nyingine...
KWA AINA YA MGOMBEA WA CCM TEMEKE, JIMBO LITAKWENDA MIKONONI MWA ACT-WAZALENDO – SHEHE ISSA PONDA
Katika harakati za kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu, macho mengi yameelekezwa katika majimbo yenye ushindani mkali – mojawapo likiwa ni Jimbo la Temeke. Kauli kali iliyotolewa na Shehe Issa Ponda...
Kufuatia majina ya waliopitishwa na uongozi wa juu wa ccm pale Dodoma.
Jimbo la Mchinga kapita mama Salma Kikwete pekee hana mpinzani.
Jimbo la Chalinze kapita Ridhiwani Kikwete maana hakuna aliyejitokeza kuchukua form.
Hakika huu ni uthibitisho kuwa hawa wabunge waliwatumikia wananchi wa...
Ndugu zangu Watanzania,
Liwake jua au inyeshe mvua, Dunia isimame au Dunia izunguke katika mhimili wake. Kamwe na katu maamuzi ya CCM ya kumpitisha na kumuidhinisha Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama yetu Mpendwa kuwa Mgombea atakayepeperusha bendera ya CCM hayatabadilika wala kubadilishwa...
"Na hii lugha ya kusema mgombea ni mmoja ni makosa, sio kipindi hiki, hata kipindi cha Magufuli kuna baadhi ya viongozi walikuwa wanasema mgombea ni mmoja, siyo kweli na kwenye kauli rasmi ambayo mimi kwa wakati ule niliitoa kwa niaba ya Mwenyekiti wa CCM, tulisema tunafungua kwa watu wote...
Kama mgombea ameamua kugombea lazima awe tayari kukumbana na kila aina ya upinzani, Kujivua na kujivika kofia ya mgombea urais na hapo hapo Rais wa nchi, kisha unajivua na kujivika uamiri jeshi mkuu, Sidhani kama ni ushindani wenye usawa.
Hii ni dalili ya uoga na hofu, kutumia nguvu kubwa dhidi...
Binafsi Sina mashaka na uwezo wa CCM katika kushinda , ina uwezo mkubwa wa kushindana na kushinda tena kwa kishindo hivyo kama siku moja ningebahatika kuwa meneja wa kampeni za mgombea wa urais wa CCM ningemhakikishia USHINDI wa asilimia 90+ na angeupata kwa sababu:
1. CCM Ina wagombea wenye...
1. Vichaa wa kisiasa.
Tunaposema vichaa wa kisiasa, tunamaanisha wale watu waliofunga macho na masikio wasione wala kusikia, wakachagua kuacha midomo wazi kuzungumza kwa nguvu zote!, Watu hawa hawahitaji kujua wala kufungua macho kumtazama yule aliyewekwa pale kama ni mgombea sahihi, kwao hilo...
Haya ndio Yale Yale ya Mr.Tumbili na Mke wake.
My Take: Mambo ya ndege wasiofanana hawawezi kuruka pamoja.
https://x.com/swahilidigital_/status/1862009393295810976?t=gJsJpp2KrYc1oxlsYO2xBg&s=19
Wakuu,
Ingia hapa kupata matukio yote ya uchaguzi wa serikali za mitaa ingia hapa: https://www.jamiiforums.com/threads/special-thread-mijadala-ya-mikoa-yote-tanzania-bara-inayoshiriki-katika-uchaguzi-wa-serikali-za-mitaa-2024.2265632/
Anayedaiwa kuwa mgombea katika kitongoji cha Mgera B...
Wandugu kwema?
Ukishangaa ya musa utayaona ya firauni. Hivi ndivyo unaweza kusema. Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mgombea nafasi ya uwenyekiti kupitia CCM bwana ABDALLA KIBELE jana alionekana mitaani akiwa ameambatana na wapiga MDUNDIKO.
Mgombea huyo hakuwa anaongea lolote kwa wananchi kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.