mgombea urais sau

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Mgombea Urais SAU Majalio Kyara: Utaratibu wa vituo upo vizuri kwahiyo wananchi endeleeni kujitokeza kupiga kura

    Mgombea Urais kupitia tiketi ya Chama cha Sauti ya Umma (SAU), Majalio Kyara amepiga kura yake leo katika kituo cha Buyuni Jimbo la Ubungo. Baada ya kupiga kura alizungumza na wanaHabari akisema hadi sasa vituo vya kupiga kura utaratbu upo sawa na wananchi wanaendelea kujitokeza lakini pia...
  2. R

    GE2025 Mgombea Urais SAU: Tunataka tutengeneze Tanzania isiyo na Rushwa

    Mgombea Urais kupitia tiketi ya Chama cha Sauti ya Umma (SAU), Majalio Kyara akiwa kwenye Kampeni Tunduma alisema endapo ataingia Madarakani atahakikisha anatokomeza vitendo vya rushwa kwa kivitendo, ili Watanzania waweze kupata haki hasa katika utoaji wa huduma katika sekta mbalimbali...
Back
Top Bottom