mgombea urais nld

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PAYE

    GE2025 Mgombea Urais NLD, Doyo: Watanzania msithubutu kuandamana mtachafua nchi

    Mgombea Urais wa Tanzania kupitia chama cha NLD, Doyo Hassan Doyo amewasihi Watanzania kufanya uchaguzi kwa amani na kutoshiriki maandamano. "Nchi inapokuwa na watu welevu, inakuwa na kelele. Rai yangu kwa Watanzania wasithubutu kutoka kuandamana; watachafua nchi."
  2. R

    GE2025 Mgombea Urais NLD, Doyo Hassan aahidi kuondoa mfumo wa Kikokotoo

    Mgombea urais kupitia Chama cha NLD, Doyo Hassan Doyo,alieleza mfumo wa sasa unaotumika kuwapangia wastaafu na watumishi wa umma matumizi ya fedha zao baada ya kustaafu ni dharau na unaowafanyia wastaafu uonevu Akizungumza Oktoba 22,2025 na wananchi wa Wilaya ya Kigamboni kwenye mkutano wa...
  3. R

    GE2025 Mgombea urais NLD, Doyo Hassan aahidi kurejesha reli ya Masasi-Dar es Salaam

    Mgombea urais kupitia Chama cha NLD, Doyo Hassan Doyo, amesema ikiwa wananchi watampa ridhaa ya kuwa rais serikali yake itarejesha reli ya kutoka Masasi (Mtwara) - Dar es Salaam ambayo ilisitisha shughuli zake 1972 Akizungumza Oktoba 21, 2025 katika mkutano wa kampeni na wananchi wa Wilaya ya...
Back
Top Bottom