Mgombea urais wa Chama cha NCCR-Mageuzi ameweka wazi msimamo wake kuhusu umuhimu wa wananchi kushiriki katika chaguzi nchini, akisisitiza kuwa ushiriki katika uchaguzi ni haki ya kikatiba na njia pekee ya kuchochea maendeleo ya taifa.
Akiwasilisha mojawapo ya sera zake, mgombea huyo amesema...
Jana 19.09.2025 kulikuwa na kampeni za Urais mjini Sumbawanga. Mgombea Urais kwa tiketi ya NCCR MAGEUZI Bw. Ambari Khamis akiambatana na Mgombea mwenza wake Dr Evelyna walitarajwa kufanya kampeni za nguvu Kuomba kura za Wana Sumbawanga.
Lakini walichokikuta siyo walichotarajia na hivyo Mgombea...
Mgombea wa kiti cha Rais kupitia chama cha NCCR Mageuzi, Haji Ambar Khamis, amesema iwapo atapata nafasi ya kuongoza nchi, ataweka kipaumbele katika kurejesha maadili kwa wasanii wa muziki wa kizazi kipya, waigizaji na vijana wanaotumia mitandao ya kijamii kutukana viongozi wa serikali
Ambar...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.