mgombea urais adc

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mafyangula

    GE2025 Mgombea urais ADC: Serikali yangu itaweka satelaiti angani kuwanasa majangili na majambazi ndani ya maziwa

    Mgombea urais wa Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Wilson Elias amesema endapo chama chake kitapata ridhaa ya kuongoza nchi, kitaweka satelaiti angani ili kudhibiti uhalifu unaofanyika katika maziwa ya Victoria na Tanganyika pamoja na mipaka ya nchi kwa ujumla. Ahadi hiyo ameitoa...
  2. Nipe Maji

    GE2025 Mgombea Urais ADC aahidi kila halmashauri kuwa na magari ya kisasa ya kuchimbia visima vya maji

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Wilson Elias Mulumbe, amesema serikali ya ADC itahakikisha kila halmashauri nchini inakuwa na magari ya kisasa ya kuchimba visima vya maji, ili kumaliza kabisa tatizo la maji safi na salama...
  3. R

    GE2025 Mgombea Urais ADC, Wilson Elias Mulumbe aahidi Mwanza kuwa Paradiso

    Mgombea urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Wilson Elias Mulumbe amesema endapo chama chake kitapata ridhaa ya kuongoza, Jiji la Mwanza litakuwa ‘paradiso’ ya maisha bora na kitovu cha uchumi na maendeleo nchini Kauli hiyo ameitoa...
  4. R

    GE2025 Mgombea Urais ADC: Nikiwa Rais amtolipa umeme wala maji

    Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Wilson Elias Mulumbe, amesema iwapo atachaguliwa kuwa Rais, Serikali yake itatoa bure huduma zote za kijamii ikiwemo afya, kuunganisha umeme, maji na elimu kuanzia ngazi ya awali...
  5. R

    GE2025 Mgombea Urais ADC Wilson Elias: Nitafungua milango kwa Mataifa yote kuja kuomba ajira Tanzania bila kubagua, dunia imekua kijiji

    Wilson Elias, Mgombea pekee wa nafasi ya kuteuliwa kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha Alliance Democratic Change (ADC) mara baada ya aliyekuwa akiwania pia nafasi hiyo kukosa vigezo, amesema kuwa ajenda yake kuu ni kuimarisha ajira ikiwa ni kufungua milango...
Back
Top Bottom