Mgombea urais kupitia Chama cha Wakulima (AAFP), Kunje Ngombale Mwiru, amesema dhamira yake ya kufuga mamba Ikulu kwa ajili ya kuwala mafisadi si mzaha, bali ni mkakati mahsusi wa kupambana na ufisadi nchini.
Mwiru amesema wapo waliodhani kauli hiyo ni masihara ya kisiasa au porojo za kampeni...
Mgombea urais kupitia Chama cha Alliance for African Farmers Party (AAFP), Kunje Ngombale Mwiru, akiendelea na kampeni zake mkoani Morogoro, amewakosoa baadhi ya viongozi wa dini wanaoingilia masuala ya kisiasa badala ya kusimamia majukumu yao ya kiroho na kuhubiri neno la Mungu
Akihutubia...
Mgombea wa Urais kupitia Chama cha Wakulima AAFP, Kunje Ngombale Mwiru akiwa katika muendelezo wake wa kampeni katika Mkoa wa Morogoro kata ya Mvuha ameongea na wananchi wa kata hiyo,
Ametaja maadhi ya vipaumbele vyake moja ni kwamba serikali yake itakuwa ni serikali ya mchaka mchaka mbaka...
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Wakulima (AAFP), Said Soud Said, amesema moja ya ajenda zake kuu endapo atapewa ridhaa ya kuongoza ni kuruhusu ulimaji wa bangi kwa matumizi ya kiuchumi, akisisitiza kuwa hatua hiyo inaweza kuwa mkombozi wa maisha ya wananchi na chanzo kipya cha mapato...
Mgombea Urais kupitia chama cha Alliance for Africa Farmers Party (AAFP) Zanzibar, Said Soud Said amesema akiwa Rais vijana wataweza kujihusisha na kilimo cha bangi ili waweze kupata fedha za kutosha na za kigeni kununua magari, kujenga majumba na kuweza kuoa wake watatu hadi wanne...
Mgombea wa nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Alliance for Africa Farmers Party (AAFP), Said Soud, amesema endapo atapata ridhaa ya Wananchi wa Zanzibar kuwa Rais, atatenga fedha maalum kwa ajili ya kuwapatia Vijana mahari ili waweze kuoa
Soud amesema hayo Agosti 14, 2025 alipokuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.