mgombea urais 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mhaya

    GE2025 Kwamba Nchi nzima yenye watu Mil 60, Hakuna Mpinzani wa Urais?

    Katika pitapita zangu najiuliza mbona hatuoni Mama Samia akiwa na mgombea mwingine wa Urais kutoka upinzani wakijibizana kwa Hoja... Radio, TV, Mitandao Yote ni kumtangaza mgombea Urais mmoja tu... Nchi yenye wasomi na watu wenye Akili wengi wameshindwa kugombea Urais tukapata wapinzani
  2. tonicimmobility

    GE2025 Mgombea urais CUF aahidi elimu bure hadi Chuo Kikuu

    Mgombea wa urais kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Gombo Samandito Gombo, ameahidi kuwa endapo atashinda Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29 mwaka huu, serikali yake itahakikisha elimu inatolewa bure kuanzia darasa la awali hadi chuo kikuu. Akizungumza jana katika mkutano wa kampeni...
  3. McLaren

    GE2025 Monalisa wa ACT Wazalendo aandika barua kwa Msajili wa Vyama Vya Siasa kupinga Luhaga Mpina kuteuliwa kama mgombea Urais

    Katibu mwenezi ACT Wazalendo mkoa wa Dar es salaam Monalisa Ndala leo Agosti 19, 2025 ameandika Barua kwa Msajili wa vyama vya Siasa Nchini kama mlezi wa vyama vya siasa. Hiyo ni hatua ya pili mara baada ya mara ya kwanza kuandika Barua kwa Katibu wa Chama Cha ACT wazelendo, Kupinga Mhe. Luhaga...
  4. tonicimmobility

    GE2025 Mgombea urais SAU aahidi ajira milion 10 kwa watanzania

    Mgombea urais kupitia Chama cha Sauti ya Umma (SAU), Majalio Kyara, amesema endapo atapewa ridhaa ya kuchaguliwa kuongoza nchi, serikali yake itatoa ajira milioni 10 ndani ya kipindi cha miaka mitano. Kyara, ambaye aliambatana na mgombea mwenza wake Satia Mussa Bebwa, amesema mpango huo...
  5. Waufukweni

    GE2025 Polepole: Mchakato wa CCM kumpitisha Samia kuwa Mgombea Urais 2025 haukuwa halali

    Mchakato wa CCM kumpitisha Samia kuwa Mgombea Urais 2025 haukuwa halali Kusema ni mgombea mmoja ni makosa Polepole asema kikao kilichotumika kumteua Rais kilikiuka taratibu na sheria za CCM. Ameendelea kusema suala la kutoa fomu moja na kupitisha mgombea kinyume cha taratibu ni kunajisi katiba...
  6. Poppy Hatonn

    Stability ya Serikali inategemea mgombea urais achelewe kuteuliwa

    Rais Samia angechaguliwa May kuwa mgombea urais ingeleta maana zaidi. Sasa hivi serikali inakosa legitimacy. Serikali inakosa uhalali. Hakuna ushindani,hakuna struggle,njia za mkayo zinatumika kuingia Ikulu au kukaa Ikulu. Rais anaingia uwanjani na mtu anatembea MBELE ya gari. Whatever does...
Back
Top Bottom