Mgombea Udiwani kupitia Chama cha National League for Democracy (NLD) katika Kata ya Kinyerezi, Halmashauri ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam, Seleman Shimbi, anadaiwa kutoweka na hajulikani alipo kwa zaidi ya siku sita sasa.
Katibu Mkuu wa chama hicho, ambaye pia ni Mgombea Urais, Doyo...
Mgombea Udiwani wa Kata ya Muleba Mjini, Muhaji Bushako, amejibu tuhuma za baadhi ya watu waliodai kwamba hajafanya lolote muhimu kwa maendeleo ya kata hiyo.
Akizungumza mbele ya mgeni rasmi, Mgombea Ubunge wa Buchosa Eric Shigongo, Bushako alisema kwamba alipoanza kazi yake kama diwani alikuta...
Aliyekuwa Mstahiki Meya wa Manispaa ya Tabora ambaye kwa sasa ni Mgombe wa nafasi ya udiwani Kata ya Isevya kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Ramadhani Kapela amezindua rasmi kampeni ya kuomba ridhaa kwa wakazi wa kata hiyo
Akizungumza na kumuombea kura Rais na Mgombea Ubunge Jimbo la...
Mgombea wa Nafasi ya Udiwani Kata ya Ilomba Kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Noah Mwakisu awasisitiza wakazi wa Jimbo la Uyole kumuunga Mkono na Kumpa kura za heshima Dkt. Tulia kwani ni bidhaa adimu.
Akizungumza Katika Mkutano wa Kampeni za Mgombea Ubunge wa Jimbo la Uyole Dkt. Tulia...
Mgombea Udiwani katika Kata ya Kinyerezi kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, John Ryoba Mrema (Wahenga aluminium) amesema endapo atachaguliwa kuwa diwani katika hiyo hatakuwa tayari kuona maturubai katika kipindi cha mvua kwenye bàadhi ya mitaa ikiwemo Mtaa wa Kanga.
Wahenga ametoa kauli hiyo...
Mtendaji wa kata katika ya Mwandege, jimbo la mkuranga Mkoa wa Pwani, Ally Mkawa na Mwenyekiti wa Kitongoji cha Luguruni B katika kijiji cha lugwadu, Shukuru Mkumba Wameingia katika tuhuma za kumshawishi na kumtisha Mgombea wa Chama cha Act Wazalendo katika kata hiyo Ramadhani Lugome kujitoa...
"Tunapita mtaa kwa mtaa, kijiwe kwa kijiwe, Namuombea kura Rais. Mimi nagombea Udiwani Kariakoo, watakaopiga kura Kariakoo naomba kura kwangu lakini muwachague wabunge wangu wa CCM na madiwani" Alisema Manara na kuongeza kuwa.
"Nimeingia kwenye hii daladala, Naomba kura. Na maana ya kupita...
Katika Hali ya kushangaza Mke wa Mgombea Udiwani kwa tiketi ya CHAUMA katika kata ya Songambele aliposimamishwa kumuombea Kura mumewe badala ya kusema CHAUMA OYE badala yake akasema CCM OYEEEE!!!!
Ilikuwa ni úzinduzi wa kampení ya mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa...
Sirari, Tarime – Mara
Tarehe 11 Agosti 2025, majira ya saa 8:27 usiku, tukio la kutisha liliripotiwa kutokea katika makazi ya aliyekuwa mgombea udiwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kata ya Sirari, wilayani Tarime.
Mashuhuda wanasema kundi la watu wasiojulikana, wakiwa na silaha za moto...
Mgombea udiwani Kata ya Makonde Halmashauri ya Manispaa ya Lindi kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Kijana Abdalah Khatau amechukua fomu ya kugombea udiawani ambapo Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi Ngazi ya Kata hiyo amemkabidhi fomu mgombea huyo.
Soma pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.