Sisi Wakazi wa Lugagala tunanyanyasika sana ikiwemo kufanyiwa fujo katika mashamba na makazi yetu ya asili. Mpaka wa Vijiji hivii umekuwa kero kwa Watendaji wa Halmashauri Wilaya ya Songea.
Licha ya kukumbushia mgogoro huu wa barua mbalimbali katika ngazi ya Halmashauri kwa Mkurugenzi wa...
Habarini zenu wakuu, nina suala linanisumbua kati yangu na jirani angu kuhusu mipaka.
Ni hivi jirani yangu kapanda mti wa mparachichi hii ya kisasa jirani kabisa na mpaka takribani nusu mita toka mpaka ulipo, sasa umekua na matawi mengi yamekuwa shambani kwangu ambapo nimepanda migomba...
Huu mgogoro ulifikia wapi mpaka leo, maana ramani zinaonesha ni ziwa malawi na sio ziwa nyasa? Na mipaka inaonesha utakiwi kugusa hata maji.
Je, kanuni gani mpaka sasa na solution ipi imechukuliwa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.