mgogoro wa ardhi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Rorya, Mara: Mgogoro wa ardhi wasababisha marehemu kutozikwa tangu Januari 20, 2021 mpaka leo

    Linaweza kuwa tukio la kushtua na kushangaza, lakini ndio hivyo limeshatokea. Familia ya Mzee Wilson Ogeta (89) hadi sasa imeshindwa kufanya mazishi ya baba yao aliyefariki dunia Januari 10, mwaka huu. Kwa siku 234, mwili wa Mzee Ogeta umehifadhiwa katika Hospitali ya Wilaya ya Utegi wilayani...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Naomba anayejua Advocate/ Lawyer Office wa kuaminika kwenye kesi za ardhi/ viwanja

    Wana JF, Kwa yeyote yule anayefahamu lawyer au advocate offices za utetezi hususan waliobobea kwenye sheria za utoaji Ardhi/ viwanja. Nitashukuru sana, maana nataka kudhulumiwa kiwanja changu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…