Wakati watumishi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo nchi nzima wakiwa na madeni juu ya stahiki zao, Makamu wetu JOHN HECHE analipa hadi laki 5 kwa usiku mmoja kulala katika hotel za hadhi ya nyota tano ndani ya viunga vya Jiji la Dar es Salaam na Dodoma. Ndio ulichosoma, siyo ndoto, ni ukweli...