Mahakama ya Rufaa, iliyoketi jijini Dodoma jana ilipata maelezo kutoka kwa mawakili wa wadawa kuhusiana na marejeo ya shauri la madai Na. 8323/2026 shauri la msingi, pamoja na Maombi madogo namba 8960/2025 maombi ya zuio kwa Chama kufanya shughuli za kisiasa na kutumia mali za chama.
Kuhusiana...
Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam, inatarajiwa kutoa kuhusu hoja ya Mheshimiwa Tundu Lissu, Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu kuomba kujumuishwa kama mshitakiwa katika kesi inayoendelea inayohusu mgawanyo wa mali za chama Machi 3, 2026.
Katika kesi hiyo iliyofunguliwa na aliyekuwa...
Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Wakili Dkt. Rugemeleza Nshala, ameeleza kutoridhishwa na uamuzi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, uliotupilia mbali mapingamizi ya chama hicho katika shauri la mgawanyo wa mali.
Uamuzi huo umetolewa leo, Jumatano...
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali maombi ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waliotaka kuruhusiwa kuendelea na shughuli za kisiasa, baada ya zuio lililowekwa kutokana na kesi ya mgawanyo wa mali za chama hicho.
Akizungumza baada ya uamuzi huo Agosti 18...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.