mgawanyo wa madaraka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nafasi ya Dini Katika Mgawanyo wa Madaraka

    https://youtu.be/Q_j7NyVC3YY?si=-X0zBb0EkA17D6K0
  2. JamiiForums Tanzania Maana halisi ya Demokrasia ni mgawanyo wa madaraka kwa zamu, bila kujali ubora wa kiongozi

    Kumekuwa na kauli za "Hata hao wapinzani na wao wanapigania matumbo Yao, utasikia mtu anasema hata huyo LISSU anajipambania yeye na familia yake" Ni ukweli kwamba hata tukiwapa nchi chadema wataila wanavyotaka, lakini ndio demokrasia inavyotaka. Lengo la Demokrasia ni kuua tawala za kifalme na...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makalla: CCM tunaheshimu Mahakama kama chombo cha kutoa haki, hatuingilii kesi zinazosikilizwa huko

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla amesema Chama cha Mapinduzi (CCM) kinaheshimu mhimili wa Mahakama na katika usikilizaji kero za wananchi, viongozi wa chama hicho hawatajihusisha na kesi zilizopo mahakamani. Makalla ameyasema hayo leo Jumanne Mei 7, 2024 akifanya mahojiano...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…