mgao wa maji mwanza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mwanza: Wananchi Nyegezi, Mkolani na Buhongwa kuna uhaba wa maji zaidi ya wiki nne. Hakuna taarifa rasmi kutoka mamlaka

    Kwa zaidi ya wiki tatu hadi nne, wakazi wa maeneo ya Nyegezi, Mkolani, na Buhongwa jijini Mwanza wamekumbwa na uhaba mkubwa wa maji, bila taarifa yoyote rasmi kutoka Idara ya Maji. Hali ni mbaya—wananchi wanalazimika kuchota maji kwenye mito na maji tiririka, ambayo ni hatari kwa afya na...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Mwanza maji yanatoka mara moja kwa wiki tena usiku wa manane au mchana. Tunashindwa kuhifadhi maji ya wiki nzima

    Tunaiomba JamiiForums kutusaidia kupaza sauti kwa idara ya maji MWANZA (MWAUWASA)kwani ni mkoa ambao pamoja na kua na ziwa lakini maji yanatoka Jumatano au Alhamis pekee tena either usiku wa manane au mchana kitu ambacho inakuwa vigumu kwa kila raia kumudu kuhifadhi maji kwa week nzima, na...
  3. K

    JamiiForums Tanzania KERO MWAUWASA tunataka maji mtaa wa Mwananchi mkoani Mwanza

    Sasa yapata wiki Mtaa wa Mwananchi hatupati maji hatuelewi kuna tatizo gani. Mhe. Waziri wa Maji fanya mabadiliko ya haraka katika Mamlaka ya Maji Jijini Mwanza(MWAUWASA) ili wananchi tuwe tunapata maji ya uhakika.
Back
Top Bottom