Wakuu, toka juzi najaribu kuangalia namba ya nida kwa kuingiza details husika lakini inaniambia taarifa zimekosewa wakati ziko sahihi. Nilikuwa najaribu kupata namba ya nida ya mdogo wangu.
Sasa nikaona isiwe tabu ngoja niangalie kama yangu itakubali maana mimi tayari nina kitambulisho na mara...