Ni wiki ya tatu sasa nikiwa najaribu kutumia mfumo wa BRELA kusajili jina la biashara, lakini nakumbana na changamoto ile ile kila mara. Mfumo unaonesha kuwa barua pepe (email) imetumwa, lakini ninapokagua kwenye email yangu hakuna ujumbe wowote unaowasili.
Nimejaribu mara nyingi bila...