Mfalme Harald V wa Norway yuko katika hali mbaya ya kiafya na amelazwa hospitalini, ikulu ya kifalme nchini humo imesema.
Mke wake, Malkia Sonja, pamoja na mtoto wake, Mrithi wa Kiti cha Ufalme, Prince Haakon mwenye umri wa miaka 53, wameghairi shughuli zote za kifalme na wamekusanyika katika...