Kesi ya Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Melkisedeki Kitunzi Kaijage, imeahirishwa hadi Agosti 27, 2026, huku upande wa utetezi ukieleza kuwa hatua inayofuata ni kuendelea na mchakato wa uchunguzi wa awali.
Kaijage anakabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi namba 16278 katika Mahakama ya...
Taifa limekuwa kama taifa la Afrika kusini wakati wa utawala wa makaburu.
Yaani mtu hana haki ya kufanya critical analysis hata kama ni msomi.
Haki ya maandamano ipo kikatiba. Mwalimu akiwa anaifundisha darasani sio kosa na wala sio kuhamasisha ugaidi.
Wahadhiri waamke waonyeshea mshikamano...
Chama cha Wafanyakazi wa Kitaaluma wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOMASA) kimesema mmoja wa wanachama wake, mhadhiri Melkisedeki Kitunzi Kaijage, alikamatwa na kushikiliwa na Jeshi la Polisi kufuatia tuhuma zinazohusishwa na maandamano ya Julai 7, maarufu kama Sabasaba.
Kwa mujibu wa taarifa...