Meli ya mizigo ya Thailand, Mayuree Naree, imeshambuliwa Jumatano ilipokuwa ikipita katika Strait of Hormuz baada ya kuondoka katika Khalifa Port nchini United Arab Emirates.
Kwa mujibu wa Royal Thai Navy, wanamaji 20 wameokolewa na jeshi la wanamaji la Oman huku juhudi zikiendelea kuwatafuta...