Rais Samia atumia TZS120.56 kujenga Meli ya MV Mwanza itakayobeba Tani 400, magari 20 na Malori 3 pamoja na abiria 1,200 kwa wakati mmoja.
Kwa msiofahamu, MV Mwanza ni mradi wa kimkakati wa kitaifa unaoonyesha dhamira ya Rais Samia katika kuimarisha miundombinu ya usafiri na usafirishaji wa...
Tanga.
Utendaji wa Bandari ya Tanga umeimarika kwa kiasi kikubwa katika miaka ya hivi karibuni, kutokana na uwekezaji wa serikali wa Sh429.1 bilioni.
Bandari ya Tanga ilijengwa kwa mara ya kwanza mwaka 1914 ili kukidhi mahitaji ya kibiashara na kilimo kaskazini mwa Tanzania.
Bandari hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.