medvedev

Medvedev (Russian: Медве́дев) and female Medvedeva (Медве́дева), from Russian medved’ (медве́дь), meaning the animal "bear", are Slavic surnames. Notable bearers of the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Dalton elijah

    Medvedev: NATO kuilinda anga ya Ukraine ni 'tangazo la vita'

    Rais wa zamani wa Urusi Dmitry Medvedev amesema uamuzi wa nchi za Jumuiya ya Kujihami ya NATO wa kuilinda anga ya Ukraine itakuwa ni kama tangazo la vita. Medvedev amesema kwenye mtandao wa kijamii wa Telegram kwamba kutelekeza wazo la kuiwekea Ukraine ulinzi wa anga na kuyaruhusu mataifa ya...
  2. The Zanzibar Echo

    Elon Musk Aishabikia urusi katika ugomvi na Marekani.

    Bilonea namba moja duniani na raia wa marekani mzaliwa wa afrika elon musk ameonekana katika kuishabikia russia katika majibizano yanayoendelea huko mtandaoni kwake wa x zaman ukijulikana kama twitter.
  3. Mi mi

    Mipasho ya Trump kwa Russia, India na kwa aliyekuwa Rais wa Russia Medvedev

    Huyu bwana ana mipasho sio kidogo😀
  4. S

    Medvedev amjibu Trump: Russia sio Israel wala Iran (haiwezi kuamrishwa kusitisha vita yake)

    Trump's playing the ultimatum game with Russia: 50 days or 10… He should remember 2 things: 1. Russia isn't Israel or even Iran. 2. Each new ultimatum is a threat and a step towards war. Not between Russia and Ukraine, but with his own country. Don't go down the Sleepy Joe road! — Dmitry...
  5. The Zanzibar Echo

    Medvedev: Magharibi inatulazimisha kujibu uchokozi kwa nguvu

    Rais wa zamani wa Urusi Dmitry Medvedev amesema Magharibi kwa makusudi inavichochea vita kamili dhidi ya Urusi, na kuilazimisha kujibu kwa ukamilifu na ikiwa watalazimika, wataanzisha mashambulizi ya kujilinda.Medvedev amenukuliwa na shirika la habari la serikali ya Urusi, TASS akisema...
  6. Chikenpox

    Medvedev: Jaribio lolote la kumkamata Rais Putin litakuwa sawa na tangazo rasmi la Vita

    Jaribio lolote la kumkamata Rais Putin nje ya mipaka ya Urusi litakuwa Sawa na tangazo rasmi la Vita, tutatumia kila Silaha tuliyonayo kutoa majibu ya uhakika na Dunia itashuhudia kile ambacho hakijawahi kutokea, kila ukitembea ukumbuke kuwa angani kuna nguvu Kuu mbili, moja inaitwa MUNGU naya...
Back
Top Bottom