mdude

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kwa UFUPI MAFWELE the Killer, hatoonekana tena as long as Mh Polepole, Mdude na wengineo walotekwa wataendelea kushikiliwa

    Hii inaitwa ya DUNIANI tumalizane wenyewe hapahapa DUNIANI. Hawa Wasenge wameua sana watu , wameua , tena wanaua huku wanajiamin na kutoa vitisho. No way , potelea mbali !!!. Mtasubiri sana MAFWELE ajitokeze ila holaaaaaaa !!!
  2. M

    Nikumuona Boniface Mwabukusi akiendelea kukaa pamoja na waliomteka na kumuua Mdude Nyagali naishiwa nguvu.

    Mtu mwenye moyo wenye nyama lazima uwe na maumivu kiasi cha kutokuwa na ushirikiano na wauaji waliomchukua mtu uliyekuwa unatembea nae masa 24 na kufanya harakati. Kwa nini uende kwenye ufunguzi wa siku ya sheria nchini? Unasimama na kuhutubia bila kutaja habari za Mdude Nyagali.
  3. HAKUTAKUA na Cha Maridhiano, Wahuni Wakubwa msokua na Haya !! Maridhiano, Mzee Kibao ameuwa Kikatili, Mdude, Soka, Polepole, hawajulikani walipo

    Yaan Njia mlioichagua ndio njia yenu, na sisi tutakwenda hivohivo na nyinyi. Ukweli ni kwamba ni Ama Tuwafikishe katika Sheria au Mtuue wote mtumalize !!. Na sio upuuzi na upumbavu wenu ulokoswa Aibu na kudhani mnatuhadaa. Yaan Familia ya Kibao ,Iridhiane na nyinyi kitu gan?? Familia ya...
  4. S

    Heche kufuata njia ya Mdude na Polepole

    Ikifika kesho Heche hajapatikana, atapotezwa na kusahaulika kama ilivyotokea kwa Mdude na Polepole. Mafwele kapewa maagizo mazito sana . Hutaki acha, sitoi codes.
  5. HumphreyHumphrey Polepole amefikisha saa 27 tangu adaiwe kutekwa ndo tunamsahau taratibu kama Mdude, why?

    Ndg watanzania, mtanzania mwenzetu ambaye alitekwa jana ameshaafikisha takriban masaa 27 tangu tulipopata taarifa hapo jana saa 3 asubuhi sawa na dakika 1,620, sekunde 97,200, mamalaka zipo kimya ndo umeshaakuwa utaratibu wa kawaida sasa watu kupotea ipi solution kama sio IGP Wambura kujiuzulu...
  6. DOKEZO Tumepoteza vijana. Wengi hawajulikani walipo

    Tumepoteza vijana zaidi ya 34 mpaka sasa kwamba hawajulikani walipo kumbe wameuwawa Mdude Nyagali Deusdedith Soka Chaula Na wengine wameuawa tayari Endelea kutega sikio Nani kamuua na lini Britanicca
  7. Ushahidi na Maneno ya mwanaharakati mzalendo Mdude Nyagali UTAISHI MILELE ukisubiri siku MAHAKAMA ikiwa HURU na HAI

    Katika jambo moja nitamsifu siku zote ni kuhakikisha alikuwa anadocument kila kitu alichopitia na kuwataja wahusika waliyo nyuma ya hayo matukio yote. Kuna mara nyingine alishare kupitia maandishi vitabu, posts za mitandaoni, mara nyingine alifanya kupitia Videos ambazo pia alishare...
  8. Wananchi Mbeya mnapoteza golden chance ya kumhoji Rais juu ya alipo Mdude Nyagali CHADEMA

    Wana mbeya hususan pale Vwawa alipoishi Mdude mlitakiwa mje na mabango mengi sana Maelfu kwa maelfu mkimuulizia mdude na wote waliopotea. Tanga na nyie sijui kama ccm wamefika huko kwenye kampeni zao ila kama hawajafika msifanye makosa waliyoyafanya mbeya. Andaeni mabango mpite mbele ya rais...
  9. Mchezo wa kurushiana Risasi utahitaji Bullet Proof vest au kujificha huku unashambulia; Kwako Tundu Lisu baada ya kutoka usifanye kama Kina Mdude Chad

    Hamjambo Wote! Mwezi septemba unaoanza kesho utakuwa na hekaheka nyingi sana. Mambo mengi makubwa yanatarajiwa kutokea. Ni mwezi ambao Wagombea na mahasimu wao wanatakiwa kujihami zaidi na kujilinda huku wakifanya mashambulizi ya kushtukiza ya kimkakati. Wagombea Wapya katika nafasi mpya kama...
  10. Je Mdude Nyagali ndo basi tena? Ishakubalika kuwa ameuawa?

    Aiseeeeee..... Hii nchi. Hatari sana. Mi nitakuwepo kwa siku 5 kabla sijaondoka kurudi huko Duniani. Suala la Mdude Nyagali ndo lishaisha sasa?
  11. Tangu Mdude Nyagali aamue kuachana na siasa, kuna akaunti za JF zilizokuwa zinatukana matusi hazionekani tena

    Kuna akaunti zilikuwa hapa JF yaani comments zake ilikuwa matusi makubwa, ya kutisha, lakini tangu Mdude aamue kutojihusisha na siasa, JF imekuwa mahala pa amani.
  12. E

    Kesi ya Mdude kuamuliwa Julai 9, 2025

    Kesi ya Habeaus Corpus iliyofunguliwa na Sije Emmanuel Mbugi, mke wa kada wa Chadema, Mpaluka Mdude Nyagali ilishikilizwa Juni 30 katika Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala ya Mbeya. Mdude alitekwa nyumbani kwake Mei 2 usiku na watu wasiojulikana, ambapo kabla ya kumchukua walimpiga na kumjeruhi...
  13. Tunaomba namba ya mke wa mdude iwekwe hadharani tuweze kumchangia ambacho tutajaaliwa,kuendelea kumuonea huruma haitasaidia kitu kwa familia yake

    Ni muda Sasa kila mtu anaonyesha hisia tofauti tofauti juu ya mke wa mdude na familia yake kwa ujumla !! Pamoja na yote yanayoendelea Bado familia ya huyu kamanda inamahitaji muhimu sana ! Huenda Kuna watoto wanasoma ama huenda Kuna mahitaji ya kifamilia ,badala ya kuendelea kumuonea huruma ya...
  14. Watoto wa Mdude Nyagali wanatia huruma. Haijulikani kama yupo hai au amefariki

    Inatia huruma sana
  15. R

    Hongera Maria Sarungi, wahuni walitaka wakurubuni eti uje kumzika baba yako, usingelirudi duniani, ungepotea kama Mdude, Soka et al na wengine

    Kwa haya yanayoendelea kwetu Tanganyika, nchi ya ya Julius Kambarage Nyerere, ungelogwa ukaja eti kumzika baba yako, ungelipote mazima . Mshukuru sana Mungu wako na malaika Gabriel aliyekuongoza.
  16. Mdude Nyagali Ameondoka kimasihara kama Saanane, Soka, Chaula na wengine Wengi. Watanzania tuko kimya na Chama Chake nacho kimekubali! Dah

    Tumemkosea nini Mungu sisi!
  17. Tumechoka na hivi visa vya watu kutekwa na kupotezwa. Kwa mfano, aliyerekodi msafara na kuchoma picha ya Rais alikuwa na tishio gani kwa usalama?

    Yaan Picha, thamani ya Picha ya MTU Inakua juu ya UHAI wa MTU??. Yaan Video, video ya magari ya Msafara ,inakua na thamani kushinda Uhai??. Sasa tumechoka, watanzania wanasimamia na wote wenye kuitetea Haki. Rais Samia na wengineo wote. Tumechoka! Yaan Kwa mfano, alochoma picha ya Rais...
  18. PreGE2025 Bishop Gwajima atangaza Maombi ya siku 7 kuwaombea Lissu, Kitima, Mdude, Soka , kuomba Mungu ashughulike na Watekaji ili utekaji Ukome

    Wakuu ni Kila siku kuanzia saa 10, Maombi hayo atayaongoza yeye Mwenyewe. Aseme HATAKI KUONA UTEKAJI unaendelea nchini.
  19. Tetesi: Walimteka mdude na kumpeleka kusikojulikana nao wapotezwa ili kupoteza ushahidi

    Kama mnakumbuka mwanzoni kabisa mwa hili sakata Kuna mtu alikuwa anatoa taarifa kuwa mdude yupo karibu na makazi ya mkuu wa mkoa wa mbeya Sasa kumbe yeye pamoja wenzake wote inasemekana wamepotezwa ili kupoteza ushahidi wa hii kashifa!! Dhambi ya kula nyama ya mtu haitamuacha mtu salama police...
  20. Kutekwa kwa Mdude kumebadilisha cho chote?

    Naamini Mdude hakutekwa na "vibaka" wa mtaani! Siyo watu waliokuwa na bifu naye binafsi. Hisia zangu zinanielekeza kuwa waliomteka huenda walifanya hivyo kwa maelekezo ya wakubwa waliowatuma. Alitekwa ili watu waogope kuongea? Utekaji huo umewanufaisha watekaji? Mbona kama ndiyo wamezidi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…