NAKULILIA RAFIKI YANGU MDUDE
Ni siku takribani 8 tangu uvamiwe, utekwe, ujeruhiwe na kupotezwa ukiwa ndani ya nyumba yako kata ya Iwambi, Jijini Mbeya.
Tukio lako limeacha maswali mengi bila majibu, simanzi kubwa kwa ndugu, Jamaa na familia yako.
Nilichofanikiwa kujua hadi sasa ni kimoja tu...