mdude apotea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    PreGE2025 Mimi ni Mke wa Askari lakini kwa hili la Mdude simtaki tena mume wangu

    Jumapili ya jana Mei 11, 2025 Viongozi na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Mbeya wameshiriki ibada maalum ya maombi kumuombea mwanachama na mwanaharakati Mpaluka Saidi Nyagali maarufu kama Mdude ambaye hajulikani alipo tangu alipovamiwa nyumbani kwake Iwambi na...
  2. Inside10

    Boniface Jacob(Boni Yai): Nakulilia rafiki yangu Mdude

    NAKULILIA RAFIKI YANGU MDUDE Ni siku takribani 8 tangu uvamiwe, utekwe, ujeruhiwe na kupotezwa ukiwa ndani ya nyumba yako kata ya Iwambi, Jijini Mbeya. Tukio lako limeacha maswali mengi bila majibu, simanzi kubwa kwa ndugu, Jamaa na familia yako. Nilichofanikiwa kujua hadi sasa ni kimoja tu...
  3. Waufukweni

    PreGE2025 Wana Mbeya wafanya maombi maalumu kwa ajili ya kupatikana kwa Mdude

    Wanachama wa CHADEMA mkoani Mbeya wamefanya maombi kwa ajili Mdude Nyagali kutoka kwenye kambi ya kumtafuta iliyowekwa Ofisi za Chama kanda Mbeya. Pi, Soma: RC Mbeya atoa TSh 5 Milioni kwa atakayetoa taarifa za Mdude, aagiza Polisi kuwasaka waliomteka
  4. Waufukweni

    PreGE2025 Spika Dkt. Tulia: Kutokumuona mtu haimaanishi ametekwa

    Wakuu! Spika Dkt. Tulia Ackson amesema 'kutokumuona mtu haimaanishi ametekwa' wakati akijibu swali kuhusu utekaji ambao umekuwa ukiripotiwa hapa nchini Spika wa Bunge la Tanzania Dkt. Tulia Ackson ameeleza kuwa Bunge haliwezi kujadili kuhusu madai na tuhuma mbalimbali zinazoelekezwa kwa...
  5. Heparin

    Mke wa Mdude: Tusifiche na tusisingizie mtu, waliomchukua mume wangu ni Polisi. Polisi wa Tanzania wana roho mbaya sana

    Mke wa Mdude_Nyagali akilia kwa uchungu muda baada ya Polisi kufika nyumbani kwa Mdude kufanya Uchunguzi. Mtoto aliyebeba ndo mtoto wao. Polisi wanataka kumtenganisha huyu Dada na mmewe lakini pia wanataka mtoto akue bila malezi ya Baba. "Kwanini Polisi mko hivi, kwanini Polisi mna roho mbaya...
  6. Masai wa Town

    PreGE2025 Mdude Nyagali adaiwa kukamatwa na kupigwa na watu waliojitambulisha Polisi

    Mwanachama wa JF na mdau mkubwa wa mitandao, Mdude_Nyagali amechukuliwa na watu waliojitambulisha kuwa ni polisi usiku huu. Walikuwa na silaha, wamevunja mlango. Mdude amepigwa sana, alikuwa amelala nyumbani kwake Mbeya. Watu hao wamevamia wakiwa na silaha, wakabomoa mlango, wakampiga sana...
Back
Top Bottom