Hao vijana waliolelewa na chama ni wazuri katika ushabiki wa chama na ni watoto wa vigogo wa chama ila uwezo wao wa kuwa Mawaziri katika wizara nyeti ni mdogo, watafutieni vitengo vingine ambavyo havina madhara makubwa kwa raia.
Kubali au kataa Mwigulu kauua uchumi wa nchi yetu. Thamani ya...