mchumba

"Bwatue" is a song by Phil Ochs, a U.S. singer-songwriter best known for the protest songs he wrote in the 1960s. He co-wrote the song with two African musicians named Dijiba and Bukasa. "Bwatue" was written and recorded in 1973."Bwatue" was written while Ochs was visiting Kenya. Its lyrics are in Lingala. The title means "canoe"; the lyrics develop the river as a metaphor for life. "Bwatue" was released as a single in Africa by A&M Records. The B-side of the single, "Niko Mchumba Ngombe", also by Ochs, Dijiba, and Bukasa, was written in Swahili. Both songs were recorded by Ochs with the Pan-African Ngembo Rumba Band. The record was a commercial failure."Bwatue" and "Niko Mchumba Ngombe" have been described as early examples of blending Western popular music with world music, and critics note that they predate Paul Simon's Graceland by more than ten years. Still, one critic says the record "should be seen more as a curiosity rather than a serious attempt at exploring a new style". One of Ochs' biographers cynically suggests that Ochs recorded the songs in order to deduct the cost of his trip to Africa from his income tax as a business expense.In the early 1990s, the single was reissued in a limited edition of 1000 by Sparkle Records, ostensibly on behalf of the Phil Ochs Fan Club of Canada. The reissue was unauthorized and is considered a bootleg.The only known review of the single was positive. Reviewing the bootleg release in Dirty Linen, Cliff Furnald wrote that "the band gives a superb look at the Zaire/Kenyan dance style at the time before mass marketing started the diluting downward trend".Because of the single's limited release, "Bwatue" and "Niko Mchumba Ngombe" were extremely rare. Most Ochs fans never heard the songs before they were included in 1997's American Troubadour. "Niko Mchumba Ngombe" was also included in the 2004 collection Cross My Heart: An Introduction to Phil Ochs.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ushauri juu ya uchaguzi wa Mchumba

    Mimi ni kijana nikiishi Mkoa X, ambapo nilikuwa na mchumba ambaye tulibahatika kupata mtoto. Sote tulikuwa na ajira , lakini maisha yakaelekea tofauti, na hatimaye tukakutana na changamoto ambazo zilitupelekea kuachana. Baada ya kuachana, mchumba wangu alielezea haja ya kuishi kwangu kwa muda...
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba Mwanamke

    Nipo mbele yenu natafuta mwanamke ambaye yupo single ili tuweze kuwa wapenzi na hapo badae nimuoe nimechoka kuwa bachelor kwa muda mrefu nipo serious kwa mwanamke au mdada ambaye yupo tayari PM ipo wazi.
  3. JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba mwanamke

    Habari Wana jamii forum Mimi ni kijana umri miaka 27, ni mfanyabiashara na Nina degree ya chemistry Natafuta mwanamke wa kuoa , Naishi mabibo Umri wa mwanamke usizidi miaka 22
  4. JamiiForums Tanzania Mimi ni Domo zege natafuta mchumba wa kike

    Habari Wana jamii forum, Mimi ni kijana na mfanyabiashara ,na ni Domo zege naomba mnipe mbinu ili niweze kutongoza mwanamke ,nipate mpenzi Kuwa Domo zege kunanisumbua Sana sijui kutongoza nasindwa kupata hata mchumba
  5. JamiiForums Tanzania Natafuta Mchumba Dodoma

    Natafuta KAZI Dodoma mjini PM
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mchumba alinikwepa alivojua ana gonjwa sugu la zinaa

    Huyu Binti ni mrembo, ana asili ya uarabu. Nilimpata ugenini mkoani nilipoenda kwa ajili ya mambo yangu. Binti anafanya kazi office flani hapo mjini. Niliuliza wenyeji pindi nilipojiridhisha kwamba naweza mtongoza na anafaa kuwa mke wangu. Kabla sijamfata niliuliza washkaji wakanambia Binti...
  7. JamiiForums Tanzania Mchumba - Mwanamke baadae awe "MKE".

    Tafadhali husika na mada tajwa hapo juu. Endapo wewe ni mwanamke na una uhitaji wa mume basi nakufahamisha kuwa 'tatizo lako limepata suluhisho'. Mimi nina uhitaji wa mwanamke ambaye kwa kuanzia awe rafiki/Mchumba lakini baada ya kufahamiana zaidi kitabia na hulka baina yetu tukiridhiana basi...
  8. JamiiForums Tanzania Mchumba wangu wa miaka 5 anafunga ndoa kesho inaniuma sana, nifanyaje?

    Mapenzi yanauma kuliko chochote sababu hayana dawa kabisa. Huyu binti nilimpenda kupenda, anatembea na nusu ya uhai wangu. Tumekuwa kwenye mahusiano muda mrefu na tulipanga mengi, nilijitahidi kumridhisha katika mahitaji yake ya kimwili, kihisia na kiroho. Kwa bahati isiyo yangu binti katamka...
  9. JamiiForums Tanzania Mchumba wa kuoa unampata wapi hasa?

    Wadau mimi nina swali hapa. Wapi ni sehemu sahihi haswa ya kukutana na mchumba wa kuoa? Wengi wanasema sehemu ya ibada, je nyie wana jamii Forum mwaona wapi ni pazuri kukutana na mchumba wa kuanza nae mahusiano na baadae ndoa?
  10. JamiiForums Tanzania JF Chit: Mchezo wa kutafuta mchumba

    Leo mtag unayetamani awe mchumba wako hapa alafu mwambie maneno mazuri. Akikujibu vizuri endelea nae huwezi jua ya Mungu mengi. Tag wengu kadiri uwezavyo. Twende kazi.
  11. JamiiForums Tanzania JF Chit: Chat hapa upate mchumba

    Hii ni thread maalumu kabisa kwa wale ambao wako single na wanataka better half, pole pole mjuane. Huwezi jua umepangiwa utakutana nae vipi Walio kwenye relationship nyie tulieni acheni wenzenu wapate nao wafaidi mema ya nchi.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba mwalimu au nesi alie Bariadi

    Wadau habarini, Mimi Nina tabia nzuri Sana mwenye huruma sijisifu bali naongea ukwwli wangu nilioa mwanamke ambae hakuwa na malezi mazuri alijichanganya mtaani na kufuata uhu I kwa ujumla alikuwa mshamba wa mapenzi alipojua saloon ni nini akachepukamazima. Kwa sasa nahangaika Sana kujua...
  13. JamiiForums Tanzania Anatafuta mchumba ni HIV positive miaka 23 mtwara muislam

    Hello habari zenu kuna dada anatafuta mchumba HIV positive Sifa zake Muislam very religious Umri 23 Mahali alipo mtwara Vigezo vyake Awe muislam Asizidi miaka 40+ Kama utakua interested unaweza kunifata PM nikakupa mawasiliano nae
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mwanaume akiweka bikira kigezo cha kuoa anapondwa, ila Mwanamke akisema anataka mchumba awe na kazi nzuri, pesa hapondwi?

    Habari wadau Kwenye swala la kuoa. Jamii inataka mwanaume awe na kazi, pesa na wengine nyumba na hata gari awe nayo. Kabla hajaoa Lakini mwanaume akisema anataka kuoa mwanamke ambaye ni bikira. Jamii inamshangaa Mwanaume huyo na Anaonekana hana maturity. Kwa nini Mwanaume anaeweka bikira...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mchumba (mke mtarajiwa): Makazi Mbeya mjini

    Kichwa cha habari cha husika hapo juu. 1. Mimi ni mwanaume ninayejielewa na nakusudia kufunga ndoa mwaka huu ikimpendeza Allah. 2. Miaka yangu 40, mwajiriwa serikalini na mjasiria mali pia. 3. Natafuta mwanamke kwa maana ya Mchumba ili ikimpendeza Allah basi tuweze kufunga ndoa mwaka huu tuishi...
  16. JamiiForums Tanzania Serious: Natafuta mke mmoja tu

    Habarini Mabinti na wale wenye dada zao. Nafasi ni moja tu, anatafutwa binti mzuri wa muonekano na tabia yaani Mtu mwenye Utu na Utulivu. Umri: 18-23 (Asiye mshangazi bila Kitambi) Elimu: Si muhimu. Dini: Si muhimu. Kabila: Si muhimu. Kazi: Si muhimu ila asiwe mvivu mvivu. Bikra: Si lazima ila...
  17. Q

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba

    Kama heading ilivo natufata mchumba umri wowote nahitaji mwanamke wa kwenda nae motoni
  18. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba ,awe na sifa ya kike haswa na awe anaishi dar .

    Umri wangu 32 Dini muislamu. makazi dar natafuta mchumba awe anaishi dar ,awe na sifa ya kike Umri usizidi 35.
  19. JamiiForums Tanzania Nauza Dry & Reefer | Freezer Containers 40Ft & 20Ft

    Nauza Dry & Reefer | Freezer Containers 40Ft & 20Ft Bei za Dry Containers (Offer till 20th July) 20Ft - Tsh 4.3M 40Ft - Tsh 6.3M Bei za 40Ft Reefer Containers (Offer till 20th July) 40Ft - Tsh 28.5M Zote ziko Dar es salaam Mawasiliano: 0625973365
  20. JamiiForums Tanzania Wanaotafuta wachumba njoooni hukuu na wale wenye umri mkubwa waume wapo kazikwenu

    Jana nilikuwa sehemu ya kinywaji nkaumia sana kuona mabinti 3 niliosoma nao wakinywa kama wanataka kwenda mwezini walipoanza kulewa tukaanza mazungumzo longtym nk.. nkauliza amjaolewa mpaka sasa jaman ndoa tatizo ndoa sugu hataree wwtote waliishia embu tunywee pombee bahaanaa hapa kama unataka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…