mchezaji bora

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Simba SC haijatoa mchezaji bora wa ligi tokea msimu uanze mpaka sasa

    Hiki ni kiashiria kingine kuwa safari hii mambo ni mazito na kuna mambo ya kiufundi hayako sawa kwenye kikosi kizima cha Simba, mpira siku zote ni takwimu na timu bora utaipima kwa takwimu uwanjani.
  2. C

    Edouard Mendy vs Mohamed Salah Mchezaji bora wa Mwaka Afrika nan anastahili?

    NAWEKA MJADALA MEZANI: Bila ya kuweka ushabiki mbele, hivi kati ya Golikipa wa Chelsea Edouard Mendy na mshambuliaji wa Liverpool Mohammed Salah yupi anastahili kupata tuzo ya mchezaji bora wa mwaka katika bara la Afrika 2021?
  3. Greatest Of All Time

    Kati ya Ronaldo na Salah nani alistahili tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Septemba?

    Baada ya Ronaldo kutangazwa leo kuwa ameshinda tuzo ya mchezaji bora Septemba, kumeibuka minong'ono kuwa tuzo hiyo alistahili kutwaa Mohamed Salah wa Liverpool! Hata mchambuzi maarufu wa BBC Match of the day, Gary Lineker amekiri kuwa Salah alitakiwa ndio awe mshindi. Je wewe mchambuzi wa JF...
  4. Greatest Of All Time

    Nani anastahili kutwaa tuzo ya mchezaji bora VPL?

    Ligi ya VPL imemalizika jana, taja mchezaji anayestahili kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa msimu!!
  5. Kipenzi Changu

    Na Mchezaji Bora MVP ni Luis Jose Miqsonne

    Mabingwa ni Simba Sc Mfungaji bora ni John Bocco wa Simba Sc Mchezaji bora ni Luis Miqsonne wa Simba Sc Kipa bora ni Aishi Manula wa Simba SC Beki Bora ni Joash Onyango wa Simba Sc Hawa Simba ukiwachekea wanachukua kila kitu
  6. anonymousafrica

    N'golo Kante: Toka kuzoa taka mitaani hadi kuwa mchezaji bora anayetegemewa

    Ng'olo Kante, alitamani kombe la dunia lichezwe nchini Ufaransa kila mwaka, kwasababu mwaka 1998, alifanikiwa kuzoa taka nyingi kuliko miaka yake yooote ya kuzoa taka mitaani. Kante alizaliwa Machi 29, 1991, huko mjini Paris nchiniUfaransa. Wazazi wake walikuwa wahamiaji kutoka nchini Mali...
Back
Top Bottom