mchaga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Tumeachana rasmi kwa kuwa mimi si Mchaga

    Kwa kweli dunia ina mambo ya ajabu sana. Exboyfriend wangu ni Mchaga wa milimani. Tumedumu naye katika mahusiano kwa miaka zaidi ya mitano. Lakini katika muda huo kumekuwa na ups and down nyingi sana ambapo tukikaa tunarekebisha maisha yanaendelea. Kwao natambulika ingawa si rasmi. Na swali la...
  2. JamiiForums Tanzania Mtoto Bahati Cornel wa Umbwe primary school amepotea. Yupo Polisi Kawe

    Mtoto Bahati S/o CORNEL, Mchaga, 8 yrs old, M/Funzi Umbwe primary school, Darasa la tano. Mtoto huyu yupo hapa police Kawe ambapo alijieleza kuwa amepotea, alikuja jijini DSM akitokea mkoani Kilimanjaro ambako ndiko anakoishi na Baba yake Mzazi aitwae CORNEL JOSEPH MASAWE, ambae anafanya kazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…