mbunge wa viti maalum

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Mara Agness Marwa ameendelea kuonesha tabasamu kwa ajili ya wajasiriamali wadogowadogo

    Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Mara Agness Marwa ameendelea kuonesha tabasamu kwa ajili ya wajasiriamali wadogowadogo ili waweze kujikwamua kiuchimi. Mbunge huyo amedhamini wajasiriamali hao kupata mikopo ili wawezekupatiwa mikopo hiyo hisiyokuwa na riba kwa lengo la kukuza uchumi wao. Awali...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Viti Maalum Tanga, Husna Sekiboko: Serikali ishughulike na wanaojiteka

    Mbunge wa Viti Maalum Tanga Husna Sekiboko - jana April 17 akichangia hotuba ya Wizara ya Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  3. H

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mara Ghati Chomete ashiriki ziara ya kamati ya bunge TAFICO

    MBUNGE WA VITI MAALUM MKOA WA MARA MHE. GHATI CHOMETE ASHIRIKI ZIARA YA KAMATI YA BUNGE TAFICO. Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Mhe. Ghati Zephania Chomete, ameshiriki ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo iliyofanya ziara ya kutembelea na kukagua miradi...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Heri ya Siku ya Wanawake Duniani - Ghati Z. Chomete, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara

    Heri ya Siku ya Wanawake Duniani Mhe. Ghati Z. Chomete Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara.
  5. I

    JamiiForums Tanzania Je, Kugawa Pedi Shule ya Viziwi Ndivyo Vipaumbele vya Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma?

    Nimestaajabu kuona mtu mwenye hadhi ya ubunge akijihusisha na matukio yanayofaa kufanywa na mjumbe wa nyumba kumi, huku akijinasibu mitandaoni. Je, hili ni “funika kombe mwanaharamu apite” au ni dharau kwa wananchi? Je, wabunge mnadhani hatujitambui? Mbali na nafasi yake ya ubunge, huyo...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Ramadhan Kareem, Ghati Zephania Chomete, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara anawatakia Waislamu na Wananchi wote wa Mkoa wa Mara Mfungo Mwema

    Ramadhan Kareem Mhe. Ghati Zephania Chomete, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara anawatakia Waislamu na Wananchi wote wa Mkoa wa Mara Mfungo Mwema wa Ramadhan.
  7. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Munde Tambwe, aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum (CCM) afariki dunia

    Mbunge wa zamani katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Munde Tambwe amefariki Dunia Usiku wa kuamkia leo baada ya kuugua kwa kipindi sasa. Katika uhai wake, marehemu Munde alikuwa mbunge wa viti maalum kutokea mkoa wa Tabora.
  8. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Cecilia Pareso: Awaki alinishawishi nitoke CHADEMA nirudi CCM

    Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Arusha, Cecilia Pareso, ambaye pia aligombea Ubunge wa Jimbo la Karatu lakini hakufanikiwa kupata kura za kutosha katika uchaguzi wa ndani uliompa ushindi Daniel Awaki, ameonesha ukomavu wa kisiasa kwa kupanda jukwaani kwa mara ya pili kumuombea Awaki...
  9. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum, Agnesta Kaiza azua madai kilichoipa CCM ushindi Jimbo la Segerea Uchaguzi 2015

    Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum, Agnesta Kaiza, amedai kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakikushinda Jimbo la Segerea katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 kwa nguvu yake ya kisiasa, bali kwa sababu ya sintofahamu iliyokuwepo ndani ya vyama vya upinzani vilivyounda umoja wa UKAWA Kaiza ametoa kauli...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mpina kukubali kuwa mbunge wa viti maalum ni kujidharilisha, sidhani atakuwa tayari kwa hilo ukiangalia wabunge wa viti maalum tulionao

    Katika mipasho ya Mama kwa Mpina, alidokeza kwamba wasimteue kugombea ubunge ili yeye amfikirie katika nafasi ya viti maalum vya Wabunge. Wenye akili tunatambua kuwa raisi alikuwa anamtafutia Mpina sehemu ya kumpasua, na Mpina akaingia kwenye kumi na nane zake. Huo mpasho haukuwa tukio la...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa viti Maalum Neema Mgaya atangaza rasmi kugombea kwa mara nyingine viti maalum uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025

    Mbunge wa viti Maalum mkoa wa Njombve Neema Mgaya ametangaza Rasmi kuchukua fomu ya Kugombea tena nafasi hiyo katika uchaguzi mkuu wa October 2025. Neema amesema hayo alipohudhuria baraza la UWT wilaya ya Njombe lililofanyika June 13,2025 mjini Njombe.
  12. JamiiForums Tanzania Bunge kumtuma Doto magari kuwajibu wakenya?

    Bunge la tanzania ni hatari kwa baadae sababu wapo karibu na hospitali ya vichaa .ambao wao wana bunge vichaa wana mirembe. hivi hawa wabunge zimo kweli. Kwa nini: mada hii imetaka kubadilishwa na kuwa kama vpn mods. Kwani tuna tunga hapa
  13. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Viti Maalum Janejelly Ntate apewa tuzo na Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya Tanzania

    Mbunge wa Viti Maalumu, Mwakilishi wa Wafanyakazi, Mhe. Janejelly Ntate amewashukuru wanachama wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya Tanzania (TUGHE) mkoa wa Dar kwa niaba ya TUGHE - Taifa, kwa kumpa tuzo ya ufanisi na kusema kuwa tuzo hiyo si yake bali ni ya Rais wa Jamhuri ya Muungano...
  14. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nusrat Hanje: Mtoto wetu aliyezaliwa Singida anataka kuvuruga Amani, Hatutakubali tunakwenda na Dkt. Samia

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Nusrat Hanje, amesema taifa linahitaji kuwa na amani na kwamba uchaguzi unapaswa kufanyika bila kizuizi chochote, kwani pakikosekana amani hakuna pa kukimbilia. Akizungumza katika mkutano wa hadhara na wananchi wa Makiungu, Jimbo la Singida Mashariki...
  15. JamiiForums Tanzania Esther Malleko Akabidhi Mashine za Kutotolesha Vifaranga vya Kuku Zenye Thamani ya Tsh. Milioni 84.5

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro (CCM), Mhe. Esther Malleko, ametimiza ahadi yake kwa wanawake wa mkoa huo kwa kuwakabidhi jumla ya mashine 169 za kutotolesha vifaranga vya kuku (incubators), zenye thamani ya shilingi milioni 84.5 kwa Kata zote 169 za Mkoa wa Kilimanjaro. Katika hafla...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jacqueline Kainja Atumia Milioni 14.7 Kukarabati Ofisi ya CCM Wilaya ya Urambo Tabora

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Mhe. Jacqueline Kainja Andrew tarehe 3 Machi, 2025 amekabidhi Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Urambo Mkoani Tabora baada ya kuikarabati kwa Shilingi 14,700,00 (Milioni 14.7) Mbunge Kainja amesema kuwa, ametimiza ahadi yake aliyoitoa mwaka 2023...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lindi: Mbunge wa Viti Maalum achangia bati 90 ujenzi wa nyumba ya mtumishi wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Wilaya ya Nachingwea

    Tarehe 3 Machi 2025 Maimuna Pathan, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Lindi, amekabidhi bati 90 kuunga mkono juhudi za ujenzi wa nyumba ya mtumishi wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Wilaya ya Nachingwea. Bati hizi ni sehemu ya michango ya Pathan katika kuendeleza maendeleo ya Wilaya ya...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa Viti Maalum, Sylvia Sigula, azindua kituo cha mafunzo ya ushonaji, urembo, mapambo, na ujasiriamali kwa vijana wa Mkoa wa Rukwa

    Wakuu Mbunge wa Viti Maalum, Sylvia Sigula, amezindua kituo cha mafunzo ya ushonaji, urembo, mapambo, na ujasiriamali kwa vijana wa Mkoa wa Rukwa, ikiwa ni hatua ya kuwawezesha kujiajiri na kupunguza changamoto ya ajira. Kituo hicho kipo chini ya Taasisi ya Sigula Wezesha Foundation, ambayo...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Juliana Shonza: Wanaume leeni Watoto wenu, Wanawake tujishughulishe Kiuchumi

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe, Mhe. Juliana Daniel Shonza akiwa Kata ya Chang'ombe Wilaya ya Songwe kwenye mkutano wa hadhara amewaasa Wanaume kutokimbia majukumu yao ya kutoa matunzo kwa watoto wao hata kama wameachana na wake au wapenzi wao. "Wilaya ya Songwe, Rais Samia amefanya kazi...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa Viti Maalumu CCM Jesca Kishoa: Kuna kiongozi alinishauri nisisaidie wananchi, alitaka nihonge wajumbe ili nishinde Uchaguzi

    Wakuu. Wabunge wa CCM washaanza kutoa siri za kambi Mbunge wa viti maalum Jesca Kishoa hivi karibuni akiwa nanaongea na wananchi amefichua kuwa aliwahi kushauriwa na kiongozi mmoja wa kisiasa kwamba abadili mbinu zake za kisiasa na kwamba badala ya kuwahudumia wananchi, aweke akiba ya fedha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…