mbunge wa nkasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    No reform no election - ukweli utaniweka huru. Hayo ni maneno ya Mbunge wa Nkasi

    Kwanza nikupe maua yako Mhe. Aida Mbunge wa Nkasi. Mimi pia ni Mkatoliki na uliyoyasema yana ukweli kwa asilimia 100. No Reform No Election umeletwa na uchaguzi mbaya na wa hovyo wa Serikali za Mitaa 2024. Uchaguzi wa 2024 ungeenda vizuri pasingekuwepo na No Reform No Election. Mtu...
  2. chiembe

    PreGE2025 Baada ya Lissu kumkashifu Aida Kenani mbunge wa Nkasi kwamba ana ubunge wa kupewa, Kenani ajaza watu wengi kuliko Sugu mkutanoni

    Siku kadhaa zilizopita Tundu Lissu aliukashifu ubunge wa Aida Kenani wa chadema kwamba ni wa kupewa na CCM Katika mkutano uliofanyika katika jimbo la Aida Kenani, mbunge wa chadema, mbunge huyo qmejaza maelfu ya watu wanaomkubali. Nadhani ilikuwa fursa kwa Lissu kuomba radhi na kuacha tabia ya...
  3. W

    PreGE2025 Mbunge wa Nkasi Kaskazini, Aida khenani asema fedha za maendeleo zinazotolewa siyo za CCM wala siyo za 'baba zao' ni kodi za wananchi

    Mbunge pekee wa CHADEMA, Aida Khenani kutokea jimbo la Nkasi Kaskazini amesema kuwa fedha za maendeleo zinazotolewa siyo za CCM kama wanavyojinasibu bali ni fedha za wananchi. Amesema pia wanaosema hajafanya chochote waangalie mabadiliko yaliyopo ndani ya jimbo hilo ikiwemo ongozeko la shule...
  4. Mindyou

    PreGE2025 Aliyekuwa Mbunge, Keissy: Msichana wa miaka 14/15 anafaa kuolewa. Nilioa wangu akiwa na miaka 15. Hiyo ndio sheria ya Uislamu

    Wakuu, Kwenye kipindi cha One on One Ally Mohamed Keissy aliyekua Mbunge wa Jimbo la Nkasi Kaskazini (2010 - 2020), ametoa mtazamo wake kuhusu masuala mbalimbali ikiwemo mvutano wa sheria mpya ya ndoa. Kessy anasema kuwa yeye anaamini kwamba mtoto wa kike akishavunja ungo tu anaweza kuolewa...
Back
Top Bottom