Nimesikitika sana. Yaaani mbunge badala kujinasibu kuwa amesaidia wananchi wake kupata maji au huduma za kiafya kama Hospital n.k
Yeye anajisifia kuwaletea Tisheti za CCM wananchi wake.
Hii ni aibu kubwa sana. Na ni kudhalilishana.
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo ameweka umeme kwenye zahanati ya Kisiwa cha Soswa iliyopo katika jimbo hilo na kumaliza kero ya muda mrefu ya wanawake kujifungua kwa msaada wa mwanga wa tochi, iliyokuwa ikiwakabili wananchi hao
Hatua hiyo imepongezwa na wananchi wa Kisiwa cha Soswa ambapo...
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, ameishukuru Serikali kwa kutoa vivuko vinne vitakavyotoa huduma za usafiri kwa wananchi wa Buchosa
Kauli hiyo ameitoa alipokuwa akizungumza na wananchi wa kata nne zinazounda Kisiwa cha Kome, kilichopo katika Jimbo la Buchosa
Shigongo ametaja vivuko hivyo kuwa...
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, ameanza rasmi kampeni ya kufungua barabara za mitaa kwa mtindo wa kitongoji kwa kitongoji, ikiwa ni sehemu ya jitihada za kuboresha miundombinu na kurahisisha usafiri kwa wananchi wa Buchosa
Zoezi hilo limeanza katika Kata ya Nyehunge, likitekelezwa na mitambo...
Yote ni shuhuda kuelekea uchaguzi mkuu, wanasiasa wanaitafuta huruma ya wananchi. hatukuwahi kusikia shuhuda kama hizi huko nyuma :AAAA: :AAAA: :AAAA: msikilize mwananchi huyu, Mbanguji Paul wa Buchosa jinsi akieleza alivyosaidiwa matibabu ya jicho lililomtesa kwa takribani miaka 8 na Mbunge...
Wakuu,
CCM muwe mnachagua watu wa kusemea mambo yenu.
Watu wa imani wakisema huu ni uchuro kwa Rais, mtakataa.
Yaani mnasifia hadi mnaboa.
==================================
Mbunge wa Jimbo la Buchosa Kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Eric Shigongo, jana katika mkutano wake na Wana habari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.